Unatumia simu za mediatek au Qualcom(mfano mediatek ni tekno zote pamoja na low end nyingi za huawei na lenovo ....na qualcom nyingi ni zile kama htc, lg, lumia, xiaomi, sony,samsung) kwa ninavyojua mimi kwenye mediatek ukikumbwa na hii shida huna ujanja zaidi ya kuinstall custom Rom nishawahi shuhudia case mbili za hii na zote zilipona..... Kwa snapdragon factory reset inaweza saidia.....ila wajuzi wa mambo watakuja kujazia.