Goodnight Messages

unatuma msg inakuwa delivered with no majibu
wewe bado unatuma msg gani tufundishe?
 
Hivi mtu akikuambia sleep tite anamaanishaga nini?

Maana yake ulale mapaja yawe tite, usimmanulie mwingine!

Seriously nilikuwa naona aibu kuulizia hili ngoja tusubiri waingereza waje watujibu! LOL
 
FP nakutakia usiku mwema ila usikorome tena kama jana....how does it sound?
 
Last edited by a moderator:
Maana yake ulale mapaja yawe tite, usimmanulie mwingine!

Seriously nilikuwa naona aibu kuulizia hili ngoja tusubiri waingereza waje watujibu! LOL

kaunga weye? Lol.
Mi nahisi sleep tight ina maanisha ulale bila kushtuka shtuka usingizini. Ngoja wataalamu waje.
 
have been dreaming of flowers and all beautiful things, since my childhood! am your woman now wish to dream of my p.e.n.i.s. all night long! goodnite hun!
 
have been dreaming of flowers and all beautiful things, since my childhood! am your woman now wish to dream of my p.e.n.i.s. all night long! goodnite hun!

duh! Hatariiii, mzima bibie.....
 
Hivi mtu akikuambia sleep tite anamaanishaga nini?

kwa mujibu wa utafiti google msemo huu enzi ya vitanda vya kamba. Maanake ulale unono kwenye kitanda cha kamba ambacho kamba zipo tight na sio zimelegea kiasi kukosesha usingingizi. Msemo kamili- sleep tight, dont let the bed bugs bite.
 
Umeniwahi, ndo nilikua najipanga. . .lol. . .
Enzi hizo za Shakespeare
 
have been dreaming of flowers and all beautiful things, since my childhood! am your woman now wish to dream of my p.e.n.i.s. all night long! goodnite hun!

i like the sexual twist. Beautiful. More please
 
lala unono li-mupenzi langu lizuri!
 
najua unatafuata namna tofauti ya kudanganya orodha ndefu ya wadada ulionao, sabu ungekuwa na mmoja usingehangaika kuuliza aina tofauti ya sms, ungetuuliza mikakati ya kufanikiwa kimaisha na kama hujaoa namna ya kummke mwema maishani.
 
mie huwa naogopa kudanganya/kudanyanywa na vijineno vitamuvitamu, hupendelea zaidi kuyageuza maneno kwa vitendo pale inapowezekana, otherwise kama nia ni kumtakia mtu usiku mwema basi be simple, mwambie tu ulale salama, usiku mwema, a.k.a good night na mambo kama hayo. hayo mashairi kabla ya kulala tene mmh ni hekaya za abunuwasi, wengine huwa wanatuma hivyo vimeseji wakisaidiea maneno na mahawara zao wa usiku wao wamelala wamekumbatiana wanakutumia wewe vimashairi vya kukulaza usingizi ili wao waanze kazi ya kungonoana... loh binadamu hatuaminiki ni wanafiki kuliko lusifer
 
Nice words for beautiful ladies, duh! nimezikubali hizi......ila kwa sisi wengine tusiokuwa na pakuzituma hizi, ni full maumivu na mateso bila chuki tu hapa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…