Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,378 Reaction score 2,054 Dec 9, 2018 #1 Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia ki ukweli.
Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia ki ukweli.
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,355 Reaction score 103,652 Dec 9, 2018 #2 Lavan Island said: Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia kiukweli. Click to expand... Kwahiyo unatakaje?
Lavan Island said: Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia kiukweli. Click to expand... Kwahiyo unatakaje?
Greg50 JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 1,979 Reaction score 2,494 Dec 9, 2018 #3 Lavan Island said: Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia ki ukweli. Click to expand... Kauli za kipindi cha Magufuli, ingekua kipindi cha Kikwete ungesikia baadae karibuni samakisamaki
Lavan Island said: Habari zenu wana jf natumaini mko poa na wengine mnajiandaa kwenda kanisani,nawatakia jumapili njema,ila mimi nimefulia ki ukweli. Click to expand... Kauli za kipindi cha Magufuli, ingekua kipindi cha Kikwete ungesikia baadae karibuni samakisamaki
kwa-muda JF-Expert Member Joined Sep 5, 2018 Posts 2,101 Reaction score 5,393 Dec 9, 2018 #4 Pole pambana tu na hali yako
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 49,734 Reaction score 89,337 Dec 9, 2018 #5 Hatati sana hii.Huyu mtu yaonekana hatanii.Anahitaji kusaidiwa.
Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,378 Reaction score 2,054 Dec 9, 2018 Thread starter #6 Moisemusajiografii said: Hatati sana hii.Huyu mtu yaonekana hatanii.Anahitaji kusaidiwa. Click to expand... Ni check basi hata na elfu 5 ndugu naye baba aonae sirini atakujaza hali tete sio mchezo
Moisemusajiografii said: Hatati sana hii.Huyu mtu yaonekana hatanii.Anahitaji kusaidiwa. Click to expand... Ni check basi hata na elfu 5 ndugu naye baba aonae sirini atakujaza hali tete sio mchezo
Lavan Island JF-Expert Member Joined Oct 24, 2015 Posts 2,378 Reaction score 2,054 Dec 9, 2018 Thread starter #7 The Icebreaker said: Kwahiyo unatakaje? Click to expand... nicheki japo elfu 5 mkuu
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,355 Reaction score 103,652 Dec 9, 2018 #8 Lavan Island said: nicheki japo elfu 5 mkuu Click to expand... Soma comment # 4