Goodbye our commander Umkontho

Jana ID yake ya humu ilikuwa active
Je wewe ndio unaiendesha au kuna mwingine au hajafa? Au sio yake alitumia?

Kama alikufa alizikwa wapi? Na lini?
Wekeni picha za msiba etc

View attachment 802351
Waseme mara ngapi? Ya kwamba account hii Iko chini ya uangalizi wa wanasheria wake wakitoa fursa yenu ndugu kumwaga mwanaharakati huyu???? Na itafungwa completely baada ya siku chache zijazo?? Tumieni fursa hii kukumbuka msimamo na harakati yake badala ya kuzusha vitu visokuwa vichwa wala miguu???
 
mkuu nimeuliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…