Good quality super bass earphone free delivery at Moshi

Good quality super bass earphone free delivery at Moshi

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,769
Leo jumanne nitafanya free delivery kwa wateja wangu
.
Karibuni mniungishe ndugu zangu
Katika maisha hakuna kitu kizuri kama kuuziwa kitu imara na original
.
Tumezoea kununua earphone kila mara kwasababu hatupati earphone sahihi au original....kwanini upoteze pesa kununua earphone kila mara?njoo nikupe original earphone ambazo zinadumu miaka na miaka
.
Kwa hizi earphone ukinunua huwezi kujutia hela yangu kwasababu
-Zina bass kubwa utadhan sabufa
-Sauti kubwa yenye ubora
-Waya mgumu na imara
-Zinadumu
-Zinazuia masikio kuharibika kwani haziharibu masikio
-Ni original 100%
-Zina kitufe cha mic,kuongeza na kupunguza sauti na pia waweza kukata simu au kupokea ikiwa simu yako inasupport pia
-Zinafanya kazi katika smartphone zote
Halafu ukinunua nakuletea bure mpaka ulipo ndani ya moshi mjini na viunga vyake
Bei ya earphone ni 9000 tu
Pia ninazo na usb wire imara mno urefu wa mita moja kwa 6000 tu
NICHEK 0759 432 654
NB:Ukinunua hizi earphone hutojutia pesa yako kwani ni nzuri mnoo best quality than ever
Karibuni sana
0759 432 654
-1099315482925259575.jpg
16514616211497182837.jpg
-1722142831-1932639957.jpg
IMG_20181214_205608.jpg
-2106156638-746395289.jpg
-2106156638-38763622.jpg
 
Nitaftie za Sony EX-088 nije kujimwaya mwaya nazo, niko dsm. Sema hakikisha ni OG mzae!
 
Bei ya hizi earphone ni 5000/=, sema labd umeongeza hiyo 4000/= due to delivery.
 
Mimi ninazo ninazouza na kama ningekua nasema uwongo ningewadanganya wateja???ningekua mzima wa akili niseme zina bass kubwa halafu ukute hazina??mimi ndo ninayeuza ninaelewa ninachokiuza
 
Nazijua, ziko vizuri ila hazina hio bass kubwa kiasi hicho unachodai. Hazifikii AWEI kabisa.
Mimi ninazo ninazouza na kama ningekua nasema uwongo ningewadanganya wateja???ningekua mzima wa akili niseme zina bass kubwa halafu ukute hazina??mimi ndo ninayeuza ninaelewa ninachokiuza
 
Back
Top Bottom