Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,670
- 167,728
Nice guys sio watamu kabisa.Huu ndio ukweli halisi wa maisha hasa kwenye mahusiano. Good or nice guys are too kind, considerate, understanding, calm, not aggressive and cooperative.
Mfano hapa JF watabaki kulike na kutaniana na mrembo wanaemwelewa ila kuzama pm au ku-make move ya kukutana au kupewa namba wanachelewa. Wanawake hawahitaji mtu mstaarabu, mwelewa elewa au wabaridi. Wanahitaji mtu anayeweza kubreak rules.
That's why wahenga wakasema Nice guys finish last. Utasubiria akuambia chukua wakati wenzako wanajitafunia....akija kukubalia ameshaachana na wengine huko. Kashachoka.
Don't be a nice guy la sivyo utaachiwa makombo.
Vigezo na masharti kuzingatiwa πEvelyn Salt can I break the rules...
Punguza masharti upate hadi KFC Bucket...Vigezo na masharti kuzingatiwa π
Sema hili Lina ukweli Asilimia kadhaaπ,.Ngoja nisubiri comments za ushauri au muongozo kutoka kwa
Leejay49 Joanah BICHWA KOMWE - DIVISHENI FOO Demi
Muda mrefu nilikuwa nakwepa kufungua huu uzi sijui kwaniniNgoja nisubiri comments za ushauri au muongozo kutoka kwa
Leejay49 Joanah BICHWA KOMWE - DIVISHENI FOO Demi
Natamani ningekua nice guy,Sema hili Lina ukweli Asilimia kadhaaπ,.
Nitoe pole Kwa nice guys wote
Kwani nawe ni mmoja wapo rafiki?
Na kweli naonaga tu maandishi yako inaonekana ni bad boy kwelikweliππNatamani ningekua nice guy,
Mimi ni aggressive niliyepitiliza.
Ha ha haaa, kimoyo moyo umeongeaMungu nifundishe kunyamaza
Demi ni yule au kifupi cha Demiss? Nataka kukupa kipendacho roho. Nataka kukujaza furaha ya moyo, kichwa na kukuwekea Mood yenye vibes kubwa.Ha ha haaa, kimoyo moyo umeongea
Napenda nice guys kiukweliNatamani ningekua nice guy,
Mimi ni aggressive niliyepitiliza.
We mtu upo?Tena kwenye kulana ndio kuwa bad boy kweli kweli, mara umemuinamisha nyama ya gari, umechapata tako mara unajidai umekosea njia unapenya rough road basi wee ni kumpelekea moto tuu ata kama kibamia kinaishia kwa mapaja
Na hata katika kudunywa pia tunahitaji heka heka sio hurumaKwa kifupi wanawake wanahitaji surprises, hekaheka, drama, purukushani...mwisho na kudinywa sanaaaaa
Mzab zabina once againTena kwenye kulana ndio kuwa bad boy kweli kweli, mara umemuinamisha nyama ya gari, umechapata tako mara unajidai umekosea njia unapenya rough road basi wee ni kumpelekea moto tuu ata kama kibamia kinaishia kwa mapaja
Kumbe kutoka out ni kwenda lodge loh, ngoja tu niendelee kuwapenda nice guys...mtoko kwao no mtoko kweli..dinner na wine taratibu. Nyege zinapanda zenyewe tu taratibu wakati wa maongezi..siku ikiisha ndo itajulikana kama tunaenda kwa bed au bye bye next time tunaendelea kuhang out. Sipendi mwanaume mwenye paparaI cant be simps, niwe busy kusaka hela na bado niwe busy kuzungushana na kei. Akitoa namba kituo kifuatacho Tutoke out, akisema nakuja tutoke namtumia jina la lodge, 8 kati ya 10 wamekuja bila kusumbua. Vile vishamba vya kujibu umenichukuliaje nawaachia viongozi wa kwaya kanisani na simps waendelee kuwaperembeshea sifa
Watamu wapooooooooooNice guys sio watamu kabisa.
Naomba nisiulizwe swali lolote, nipo bize nafua.....
Nioneshe πππππWatamu wapoooooooooo