Mkuu leo nimejaribu ku link paypal account na bank account ila inaniambia card yangu haiwezi ku link ni contact na issuer yaan hadi sasa sjui nifanyeje
Hemu km kuna mtu anaelewa ttzo ajaribu kunielewesha plz

Ndio mkuu tayar imekubal now inaniambia ni weke four digit varification code but hawajanitumia no zozot ktk email na nikiweka no 4 za mwisho za card inakataa