Ndio tatizo lenu hili huwa amuangalii kesho.
Sisi wanaume huwa tunawasanifu tukiona wanawake wanajali pesa kuliko materials aliyonayo kichwani mwanaume.
Nikuibie tu siri wanaume wajanjawajanja wapigaji misheni town huwa tunawajuwa mpaka mwisho wao kwamba huyu atatamba wee mjini lakini miaka miwili mingi ni lazima afurie na mapenzi yanaishia hapo.
Siku zote mtu aliyeinvest kwenye brain na maarifa hata akiwa hayuko vizuri ni lazima atatoka kimaisha, tatizo siku hizi hamtaki kuanza moja na mwanaume mtafute wote maisha.
Nb: bandiko langu halina uhusiano na aliyetoa offer ya vocha.
oraita...noted with thanksNdio tatizo lenu hili huwa amuangalii kesho.
Sisi wanaume huwa tunawasanifu tukiona wanawake wanajali pesa kuliko materials aliyonayo kichwani mwanaume.
Nikuibie tu siri wanaume wajanjawajanja wapigaji misheni town huwa tunawajuwa mpaka mwisho wao kwamba huyu atatamba wee mjini lakini miaka miwili mingi ni lazima afurie na mapenzi yanaishia hapo.
Siku zote mtu aliyeinvest kwenye brain na maarifa hata akiwa hayuko vizuri ni lazima atatoka kimaisha, tatizo siku hizi hamtaki kuanza moja na mwanaume mtafute wote maisha.
Nb: bandiko langu halina uhusiano na aliyetoa offer ya vocha.
hapo chacha utatoa jasho la kwapa kuchuma juani saa ya kivulin unaundiwa zengwe unatupwa kule..mmmh shem! wanaume kizungumkuti. mambo yakuanza from zero sijui -ve hapana. mnaanza wote mambo yakinyooka unawekwa kando raha anakula mwingine.
hapo chacha utatoa jasho la kwapa kuchuma juani saa ya kivulin unaundiwa zengwe unatupwa kule..
that the truth pal but girls nowdays they are not behave like they want to be the real wives,,,the number of changu's in dsm,dodoma,mwanza,arusha and moshi is shocking,,,honestly i will never ever dig my own cemetry by marrying a 21st c girl.
Mkuu najua ni mwanaume but ndo hivo wanaume wenyewe wameamua kutetea wanawake kuanzia wiki iliyopita yote inahusu wanaume tu
sure thing man..... i have a friend just y`day she told me she found out her hubby is gay n she stayed away coz he use to demand 0712 and he is well off and successful person... much worse is, its just 1 year since they got married and she wants a divorce as soon as by yesterday ......... tell me now, where can we find good hubby materialll... men talk to me pliz:angry::A S 109::hail::hail: and GOD help us.
Economic hardship may explain to some extent why men prefer older women as opposed to their age mates. Unemployment is at an alarming rate.
that the truth pal but girls nowdays they are not behave like they want to be the real wives,,,the number of changu's in dsm,dodoma,mwanza,arusha and moshi is shocking,,,honestly i will never ever dig my own cemetry by marrying a 21st c girl.
the thread writer is not mbongo???