Good husband is hard to find nowdays

May be also is not swahili......hahahaaaaaa.

back to the topic....i live near a church...i see a lot of people get married every saturday.....even on the roads i see a lot of 'newly wed cars'
 
Nimetoka kapa duh!Ngoja nikatafute thread nazoendana nazo
 
Mkuu Eli79
Mimi sioni kama ni tatizo, sabab Unapokua nje ya Tanzania kama huongei kiingereza kwa kweli utatamani urudi nyumbani hata kama unapata kila kitu.
Hiyo ya kwemda nchi za wenzetu huku lugha ikiwa tatizo ni kweli kabisa, wengi wetu tukienda nje twapata shida kumix na wenzetu. Japo mmoja alisema waTZ wapo vizuri kwenye Maths kuliko kuongea kiingereza...nilicheka sana!
Kinngereza kina rahisisha sana, yaani ni kama Watanzania na kiswahili sawa sawa na dunia na kiingereza. Hivyo ili kuendana na kuwasilina na wenzetu inabidi tupate mwanga wa hii lugha ya kiingereza.
Tatizo kubwa ni kuwa kwa nini kiingereza ni lugha inayotumika darasani lakini watu hawajui kuitumia? Kuna mtu katoa takwimu kuwa japo 80% ya watanzania wanajua kusoma na kuandika(kitu ambacho ni kizuri), 5% tu ndio wanajua kusoma na kuandika kiingereza kwa ufasaha bila kuwa na matatizo. Kwani hiyo 5% ndio wanaofika level ya FI hadi vyuo?
Hebu fikiria, simu, computer na machine nyiingi manual zake hutumia kiingeraza, Kama unavyojua sisi ni consumer tu hapa duniani, we produce nothing. Bila kiingereza tutajipa mateso wenyewe.
Mbona wachina, wajapani, wajerumani, wafaransa, warusi n.k hawatumii kiingereza lakini technology yao iko juu sana?
 
back to the topic....i live near a church...i see a lot of people get married every saturday.....even on the roads i see a lot of 'newly wed cars'

Ofcourse there is a lot of new weds,but It may not be a reason that all of them have qualities of good husbands/wife's.
 
Mkuu...
Ukizungumzia hizo nchi unanzungumzia matajiri, nchi zilizojitosheleza kwa kila kitu. Hawana haja ya kwenda kusoma U.S.A, wala U.K , Hao wanasoma kwao kwa lugha yao na wanatengeneza product zao kwa lugha yao na hawayumbi.

Sisi tunategemea misaada ndio tuishi. madawa, mashine n.k vyote tunatoa hukoo kwa hao matajiri." Mtumikie kafiri upate ujira wako", hivi unadhani team ya Mh. Jakaya wakiandika proposal ya kuomba misaada ya miradi fulani fulani wanatakiwa kutumia lugha gani? unadhani wanaweza kuandika kwa kiswahili? Thubutuuu....
 
that the truth pal but girls nowdays they are not behave like they want to be the real wives,,,the number of changu's in dsm,dodoma,mwanza,arusha and moshi is shocking,,,honestly i will never ever dig my own cemetry by marrying a 21st c girl.

is this English?English'nt it?
 
tatizo english inaletwa imechelewa huku primary nzima mtu umepita Kiswahili, watoto wa siku hizi na English medium labda inasaidia, mtoto anapoanza tu kuongea ana uwezo wa kuelewa lugha nne bila matatizo ila wengi TZ (ondoa English medium), hakuna utaratibu wa kuanza toka utotoni lugha nyingi unataka umeshakuwa mkubwa akili imeshika MAGAZIJUTO mwalimu anakuambia BODMAS. English yenyewe haitumiki katika mazungumzo ya kawaida ni kuandika notes na kujibia mtihani. Magazeti mtu anasoma ya Kiswahili. Tumeridhika mno na Kiswahili yaani mtu anaangalia series na movies za Kizungu anaalewa na anakuhadithia yote kwa Kiswahili na mwambie arudie sentensi kwenye alichokiangalia kwa Kiengereza hawezi atairudia Kiswahili. Kiswahili ni lugha yetu na ni okay kujivunia ila ina mipaka yake. Hata wanaofundisha Kiswahili ulaya wanajua Kizungu.
 

Unaongelea kwa Tz specifically au?
 
Mbona wachina, wajapani, wajerumani, wafaransa, warusi n.k hawatumii kiingereza lakini technology yao iko juu sana?
Tatizo sio lugha, tatizo ni kutokuwa na maendeleo na mipango mibovu, hao unaowasema walijipanga wana vitabu kwa lugha zao mpaka university sisi mpaka leo vya secondary tu hatuna kwa Kiswahili sembuse huko chuo.
 

Hilo ni kweli kabisa, mtu anaanza kutumia lugha ya kiingereza kama lugha ya mawasiliano darasani ili hali haijui. Nakumbuka sana for one nilivyokuwa nakariri...naweza tumia dk 15 nakariri maana ya baiolojia na nisiikumbuke kesho yake naanza upya. Lugha inachelewa kutumika, na pia hao wanaoitumia hawajaandaliwa kuitumia.

Nadhani hizi shule za ''english medium'' zina asilimia ndogo sana ya idadi ya watoto wanaomaliza darasa la saba, na yawezekana ndio hiyo 5% ya watanzania wanaomaliza vyuo vikuu wakiwa na ufasaha mkubwa wa lugha hii.
 
Ofcourse there is a lot of new weds,but It may not be a reason that all of them have qualities of good husbands/wife's.

What "constitutes" qualities of a good husband/wife???!!
 
Mkuu...
Ukizungumzia hizo nchi unanzungumzia matajiri, nchi zilizojitosheleza kwa kila kitu. Hawana haja ya kwenda kusoma U.S.A, wala U.K , Hao wanasoma kwao kwa lugha yao na wanatengeneza product zao kwa lugha yao na hawayumbi.
Kwani wao walianzaje dikembe? Sisi hatuwezi kuanza na mfumo wetu?

Tutategemea misaada hadi lini? Hata hao wachina wakikutana na wamarekani wanakuwa na watu wao wanaoongea kiingereza ili kuweka ueleano, hata baadhi ya makubaliano wanayofanya yanakuwa katika lugha ya kiingereza, sidhani kama hiyo ni excuse mkuu...!
 
Last edited by a moderator:
Tatizo sio lugha, tatizo ni kutokuwa na maendeleo na mipango mibovu, hao unaowasema walijipanga wana vitabu kwa lugha zao mpaka university sisi mpaka leo vya secondary tu hatuna kwa Kiswahili sembuse huko chuo.

Nakubaliana na wewe Ukweli1
 
Last edited by a moderator:

Hauko sahihi, mimi nimeishi kwenye nchi zinazotumia kingereza tu, ukweli ni kinyume na unavyoelewa.

Kingereza chenye manufaa ni cha mawasiliano bila kujari ni broken au lah.

Maajabu ya kingereza huyu wtoa mada kwa mfano anaweza kushindwa kuongea kingereza na mzungu lakini anajuwa kusoma kiufasaha kingereza na kuandika na hao ndio wamejaa JF kazi kuangalia umekosea wapi spelling wakukosoe wakati yeye na wewe mkiwekwa mdahalo kwa kingereza ni lazima atafute chochoro.

Mimi binafsi kingereza cha kuongea sikujulia shuleni bali katika nchi nilizoishi, shuleni nilijuwa kusoma na kuandika tu.
 
Ofcourse there is a lot of new weds,but It may not be a reason that all of them have qualities of good husbands/wife's.

if ur not the husband/wife...how can u tell the qualities of the husbands/wives??!! and before one gets married u have to make sure ur content with ur future lifemate.....
 

Hao walianza mapema ndio maana wanazidi kuwa mbele yetu, Hii ni sawa na kuvuta trailer kwa kutumia kipande cha chuma, trailer haiwezi kuifikia gari inayoivuta. sisi ni kama trailer tu, na wao ndio wanatuvuta kwa kutumia kipande cha chuma/ bomba ( They keep distance of separation constant).

Huo ndio ukweli, English imewekwa kwa kusaidia kuwasiliana kati ya Taifa na Taifa, zenye kuongea lugha tofauti. Sasa sisi tunabenefit zaid kutoka kwao, bila wao nadhani hali itakua mbaya sana TZ.

Nimekumbuka msimamo wa mwanaharakati mmoja wa India ( Mahat magand), Alipositisha kupokea misaada ya nguo toka nchi za ulaya na kuanza kuvaliwa kwa vazi lao maarufu(LUNGI) na kuchoma nguo zote toka ulaya na Amerika, hakuishia hapoa alibadili pia chakula na kuanza kula wanaita dengu.

Walifanikiwa na kujikomboa na wanatumia lugha yao na alphabet zao . Na LUNGI likawa vazi linaloheshimika na kuwa vazi lao la Taifa. Pia dengu ni chakula kikuu India
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…