Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,831
- 25,125
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.Pili,,,, Kwa kila Jambo waachie wenye ujuzi nalo,usileta bla bla bla za vijiweni,tuheshimu Utaalamu siku zote.
Nadhani hata huyo dogo pia alikua na utaalamu kuhusu hilo drip, labda amesomea mambo ya afya.Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Alikuwa mdogo. Ni ile hali ya kujua status ya afya ya ndugu au mzazi wako. Mfano ukijua ndugu yako ana kisukari anaweza kuanguka ukawaambia watu mleteeni pipi au fanta tu akawa fresh.Nadhani hata huyo dogo pia alikua na utaalamu kuhusu hilo drip, labda amesomea mambo ya afya.
Sidhani kama "Aisha Chukua yote" wa Tandika anaweza kujua drip hili limebeba dawa aina gani na zinaweza kureact namna gani kwa mtu mwenye diabetes!
Yeah, kwa kesi za namna hii ni sahihi. Hata mateja wanajua namna ya kuwasaidia wenzao wakizidisha.Alikuwa mdogo. Ni ile hali ya kujua status ya afya ya ndugu au mzazi wako. Mfano ukijua ndugu yako ana kisukari anaweza kuanguka ukawaambia watu mleteeni pipi au fanta tu akawa fresh.
Madaktari hawakataliwi ila wanaulizwa ili upewe sababu kwanini kamuandikia hivyo kama kapitiwa atajua na atakushukuru ila usikurupuke na elimu yako ya mtaani ukaanza kumprovoke doctor, mfano hapo kuna drip za aina nyingi , mgonjwa wakisukari kimepanda huduma ya kwnza ni drip ya NS ili kushusha maan ni maji tu, ila sio Drip zenye glucose, ss kama alimpa iyo ilikua sawa haina madhara, uyo mtaalamu amemvumilia uyo dogoAliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Alikuwa anampa yenye glucose.Madaktari hawakataliwi ila wanaulizwa ili upewe sababu kwanini kamuandikia hivyo kama kapitiwa atajua na atakushukuru ila usikurupuke na elimu yako ya mtaani ukaanza kumprovoke doctor, mfano hapo kuna drip za aina nyingi , mgonjwa wakisukari kimepanda huduma ya kwnza ni drip ya NS ili kushusha maan ni maji tu, ila sio Drip zenye glucose, ss kama alimpa iyo ilikua sawa haina madhara, uyo mtaalamu amemvumilia uyo dogo
Kisukari gani umpe soda cha kupanda au kushuka? Hizi elimu mitaan hiz Mtawaua mam zenu nyieeee uje umpe soda akiwa na sukari yakupanda unialike msibanAlikuwa mdogo. Ni ile hali ya kujua status ya afya ya ndugu au mzazi wako. Mfano ukijua ndugu yako ana kisukari anaweza kuanguka ukawaambia watu mleteeni pipi au fanta tu akawa fresh.
Naona umeamua kutafuta ligi. Haya umeshinda dokta.Kisukari gani umpe soda cha kupanda au kushuka? Hizi elimu mitaan hiz Mtawaua mam zenu nyieeee uje umpe soda akiwa na sukari yakupanda unialike msiban
Aliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengin
Kweli mkuu upo sahihi kabisa nao pia ni binadamuAliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Point sana big boyAliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
Na Hilo kumuuliza dokta kwanini kamuandikia dawa flani ni zuri ingawa Kwa madokta wa kibongo naona kama ukiwahoji hoji kama wana wanamind hivi,,,,Ila wazungu utakuta wanatoa maelezo vizur Kwa mgonjwa mpaka anaelewaMadaktari hawakataliwi ila wanaulizwa ili upewe sababu kwanini kamuandikia hivyo kama kapitiwa atajua na atakushukuru ila usikurupuke na elimu yako ya mtaani ukaanza kumprovoke doctor, mfano hapo kuna drip za aina nyingi , mgonjwa wakisukari kimepanda huduma ya kwnza ni drip ya NS ili kushusha maan ni maji tu, ila sio Drip zenye glucose, ss kama alimpa iyo ilikua sawa haina madhara, uyo mtaalamu amemvumilia uyo dogo
Mkuu ukinunua gari bovu lazima utakuwa fundi.Nadhani hata huyo dogo pia alikua na utaalamu kuhusu hilo drip, labda amesomea mambo ya afya.
Sidhani kama "Aisha Chukua yote" wa Tandika anaweza kujua drip hili limebeba dawa aina gani na zinaweza kureact namna gani kwa mtu mwenye diabetes!
Usijifanye wewe ndio una akili pekee, mtu hadi afikie kumpa mgonjwa soda flani ujue wameshauriwa na daktari.Kisukari gani umpe soda cha kupanda au kushuka? Hizi elimu mitaan hiz Mtawaua mam zenu nyieeee uje umpe soda akiwa na sukari yakupanda unialike msiban
Nakubaliana na hoja yako mkuu!Mkuu ukinunua gari bovu lazima utakuwa fundi.
Huyo dogo alijua aina za drips kwasababu amekuwa na mgonjwa wa kisukari muda mrefu so amejifunza kupitia uzoefu huo labda.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisukari gani umpe soda cha kupanda au kushuka? Hizi elimu mitaan hiz Mtawaua mam zenu nyieeee uje umpe soda akiwa na sukari yakupanda unialike msiban
D5 huwez mpa mtu bila kumpima sukari mkuu labda nurse alijisahauAliwahi kunisimulia rafiki yangu wakati bado mdogo mama yake aliumwa wakampeleka hospital hajitambui, kufika hospitali daktari akasema awekewe drip. Nurse akaandaa drip fulani, rafiki yangu kwasababu anajua mama yake ni diabetic akamkatalia nurse asiweke drip hio ndipo nurse akamuuliza kwanini akamwambia kwasababu mama yangu ana kisukari! Nurse akawa mpole, bila kuhoji yule mama alikuwa anakufa mapema kwa makosa ya nurse.
Kwahio si kila jambo ukubali tu kisa ni mtaalam kasema hata wao huwa wanapitiwa na wana mambo mengi kama binadamu wengine.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mwenyewe hujafafanua, kisukari kipi tunampa mgonjwa au mradi ana kisukari tumpe soda?Naona umeamua kutafuta ligi. Haya umeshinda dokta.
Nimesema mtu anaejua status ya ndugu yake. Sio random. Jaribuni kutuliza vichwa kabla ya kuvamia comments za watu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mwenyewe hujafafanua, kisukari kipi tunampa mgonjwa au mradi ana kisukari tumpe soda?