Good communication is a key to a successful conversation/relationship

Gorgeousmimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2010
Posts
9,296
Reaction score
7,713
Habari za saa hizi.

Communication is an art and a skill. Hiki kitu unaweza kujifunza through experience,kupitia kwenye malezi au ukawa natural born an excellent communicator.So tuangalie vitu vipi vinakufanya uwe good communicator.


  • Good listener:"LISTEN FIRST TALK LATER" Tujifunze kusikiliza na kujenga uelewa through different prespectives without judging or making accussations.Dhana ni dhambi,hata dini inakataza dhana."IGNORANCE IS BLISS"
  • Ask Passiv questions:Kama kuna kitu hujaelewa uliza maswali ambayo yatamfanya mtu afunguke ajieleze,If you want to find the solution to any problem find first the source of the problem.The bigger you dig the better results you get.Kama hujatafuta origin ya tatizo bado hujalisolve tatizo kuna uwezekano mkubwa tatizo hilo litajirudia tena na tena.
  • Take Consideration:Yape uzito uliyoambiwa,jipeleleze na yafanyie kazi mfano kama watu watatu wamekwambia jambo hilohilo maanake its impossible that all these people are wrong!!Take time,think and rethink.Find solutions and try to resolve the issue and if possible seek for help elsewhere.
  • Give /take Feedback:Ni vizuri kutoa feedback but be careful on your language and the way you express yourself.Use your words wisely especially when giving a negtive feedback because not everyone takes critisicm in a positive attitude.Have manners because you could be hurting someones feelings or self-esteem. Mpokeaji wa feedback refer to the point of consideration.
  • Kama mna la ziada jamani ongezeeni!

Karibuni wapendwa
 
mkuu hii nzuri listen first and talk later
Kweli kabisa mamii,mtu ikiwa saa zote unaongea unamnyima mwenzako nafasi ya kuongea yaliyokuwa moyoni!Kusikilizana ni muhimu mno....na ni kitu kigumu kwa kweli kwasababu walio wengi wanahukumu kabla hata mtu hajamaliza kusema kitu!!Mtu keshachora picha kwenye ubongo wake ya kila kitu!Subira ni kitu kingine kinachofanya kusiwe na maelewano!Si unajua kuna ile dizain ya mtu anakumalizia kila sentesi kama anakusoma unayoyaongea :lol:
 
Reactions: dtj

ila mkuu kuna wengine sio waongeaji sana sijui anakuwa msiri au ni nini
 
ila mkuu kuna wengine sio waongeaji sana sijui anakuwa msiri au ni nini
Tabia za watu zinatofautiana kuna watu
  • Waongeaji wazuri
  • Wasioongea
  • Wanaochuja maneno ya kuongea hawa mara nyingi huchagua kuongea vitu vya busara
  • Wasioongea kwasababu hawana point za kuchangia au interest na hayo maongezi
  • Wanaoongea nonstop mpaka unachoka kusikiliza,maana akianza mada moja itaongelea hio hio lisaa limoja hawa wanachosha
Watu wasioongea mara nyingi hawajiamini,Na hawako uhuru kuacha fikra zao wazi au zisikike kwasababu wanaona wataonekana dhaifu au watahukumiwa.Ila watu hawa wakipata mtu wanaemuamini wanaweza kuwa wawazi sana na unaweza kushangaa jinsi watakavyoongea.Ila wako watu pia wasiopenda kuongea ni kama asili yao.Muhimu ukiwa na mtu wa hivo muulize maswali passiv ambayo yatamfanya ajibu kwa undani sio "CLOSED QUESTION" ambalo jibu litakuwa "YES AU NO"Yaani mfano baada ya kuuliza UNANIPENDA? uliza UNANIPENDEA NINI?hilo swali la pili litampa mtu nafasi ya kufunguka na kuongea mengi!!
 
Hizi communication skills zinasumbua sana hapa Tanzania. Watu wanapata shida sana ktk one at a time speaker, or speaking in turns
 
Hizi communication skills zinasumbua sana hapa Tanzania. Watu wanapata shida sana ktk one at a time speaker, or speaking in turns
Tatizo jingine ni kwamba kukiwa na waongeaji wengi kuna watu wenye character ya kutake over!!Yaani wao ni waongeajii wazuri natural borns...sasa hapo usipokuwa considerate wale ambao sio waongeaji wazuri wanakuwa wanakandamizwa...au ndo inakuwa ile mtu huyu anaongea na mwengine anaongea!Ustaarabu pia ni kitu muhimu haswa ikiwa ni maongezi ya watu zaidi ya wawili!
 
gorgeousmimi

Ipo hivi mtu ni muongeaji vizuri tu lakini linapokuja suala ambalo unategemea atoe maelezo yakushiba badala yake haongei vizuri au hatoi maelezo ya kutosha kulingana na kile ulichouliza sasa hapo swali ni je? hataki kuwa wazi kwa kile ulichomuuliza au hataki kuchosha akili yake kwa mambo ya msingi.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo mtu anataka aambiwe anayoyataka yeye, ikiwa vinginevyo weeeeee utashangaa maneno yatakayo watoka.
Ni kweli mpenzi kuna watu wapo hivo na walio wengi nadhani inatokana na mazingira jinsi yanavyowaathiri na mazoea.Wengi wana mazoea ya kwamba baadhi ya vitu vinampangilio flani na ni kama mwiko kwenda kinyume na iendapo utaenda kinyume inaleta mikwaruzano.
Kitu kingine ni matarajio.Walio wengi wanajipa matarajio fulani juu ya kitu mfano ukipendeza unatarajia utasifiwa umependeza....I guess we all have expectations in some cases,Lowering our expectations will make things much easier coz people are different some like rose´s and some like lillie´s so muhimu kukubali mawazo ya mwengine hata kama ni critisicm lkn again yule anayetoa ujumbe communicator awe makini jinsi ya kudeliver ujumbe.....
 
sasa usiri katika mambo ya msingi sio mzuri...

Communication ya kumsifia mtu huwa rahisi sanaa, na inaishaga vizuri tu. Tatizo linakuja pale kwenye communication ya kupeana MAKAVU. Wengi kupokea ile message kunakuwa na feelings na emotion tofauti tofauti
 
Hataki kuwa muwazi,hayupo huru kwako kiasi cha kuwa muwazi na ni ishara kwamba hakuamini kisawa sawa....Hebu jifikirie mtu kama humuamini dia unaweza kumpa siri yako nzito au kumwambia mambo ya private?Jibu ni NO!!
 
Communication ya kumsifia mtu huwa rahisi sanaa, na inaishaga vizuri tu. Tatizo linakuja pale kwenye communication ya kupeana MAKAVU. Wengi kupokea ile message kunakuwa na feelings na emotion tofauti tofauti
Yah ndio maana busara inatakiwa itumike ukiwa unampa mtu makavu!Mpe mtu makavu lkn sio kwa njia ambayo itamfanya huyo mtu ajione nothing lkn lazima ufikirie na yeye atalipa uzito gani suala hilo!!Put yourself in the other persons shoes!!Fikiria ww ukitaka kupewa negative feedback ungependa iweje?
 
Communication ya kumsifia mtu huwa rahisi sanaa, na inaishaga vizuri tu. Tatizo linakuja pale kwenye communication ya kupeana MAKAVU. Wengi kupokea ile message kunakuwa na feelings na emotion tofauti tofauti

Mmmhhhh hapo sasa
 
Hataki kuwa muwazi,hayupo huru kwako kiasi cha kuwa muwazi na ni ishara kwamba hakuamini kisawa sawa....Hebu jifikirie mtu kama humuamini dia unaweza kumpa siri yako nzito au kumwambia mambo ya private?Jibu ni NO!!

Kazi ipo hapo daaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…