isackkallindi
Member
- Jan 10, 2014
- 25
- 21
Naungana na wewe kwa hili,mwenyewe nilikuwa natamani kutokee sababu ya Zlatan kuwa nje kwa kipindi kirefu haswaa kwa kipindi hichi tunachoenda kumaliza ligi.Aende zake tuu...kwanza score rate yake ni ndogo sana ukicompare na chance za kufunga anazozipata...pili Mourinho alikuwa anamuogopa au labda ana maslah nae ya kibinafsi,maana hata akiboronga vipi mourinho alikuwa hawezi kumpiga sub...Kuumia kwake ni advantage kwa man utd maana wakina Rashford watapata chance zaidi ya kucheza na pia next season umuhimu wa kusajili straika mpya utakuwa umeongezeka maradufu!!!
Nakuungeni mkono tena mimi naona amechelewa kuumia angeumia mapema tusingekuwa hapa mana timu nzima ilikuwa inamwangalia yeye sasa kutakuwa na balanceNaungana na wewe kwa hili,mwenyewe nilikuwa natamani kutokee sababu ya Zlatan kuwa nje kwa kipindi kirefu haswaa kwa kipindi hichi tunachoenda kumaliza ligi.
Moja ni Mou kushindwa kuacha kumpanga kutokana na sababu za kimkataba,lakini kiukweli hesabu zinamkataa,pamoja na kufunga magoli Zaidi ya 18+ lakini idadi ya Mchezo,dakika na chance anazopata haziendani na magoli aliyofunga, kwa maana nyingine Zlatan anaweza kuwa ni sababu ya Man U kuwa hapa ilipo kama mfungaji tegemewa,enzi za Ruud van now angekuwa na goli Zaidi ya 20,mana timu inazuia vizuri,kiungo cha uhakika,ushambukiaji ndio tatizo.
Kutokana na mfumo anayotumia Mou,mara nyingi hutegemea mfungaji mkuu.
Sasa nini maana yake ikiwa Ibra atakuwa inje kwa muda mrefu,Mou itabidi kucheza kama alivyocheza na Chelsea bado timu itakuwa na tatizo la ufungaji lakini inabidi kuwaruhusu Viungo nao kufanya kazi ya ushambuliaji kidogo Pogba anaweza kuwa kiungo huru na kuanza kufunga au Herera mana Matta naye yupo nje.
Hii sii kauli ya kimpira ni kauli ya lofa asiyejua mpiraNakuungeni mkono tena mimi naona amechelewa kuumia angeumia mapema tusingekuwa hapa mana timu nzima ilikuwa inamwangalia yeye sasa kutakuwa na balance
Uhuru wa maoni etiHii sii kauli ya kimpira ni kauli ya lofa asiyejua mpira
Naungana na wewe kwa hili,mwenyewe nilikuwa natamani kutokee sababu ya Zlatan kuwa nje kwa kipindi kirefu haswaa kwa kipindi hichi tunachoenda kumaliza ligi.
Moja ni Mou kushindwa kuacha kumpanga kutokana na sababu za kimkataba,lakini kiukweli hesabu zinamkataa,pamoja na kufunga magoli Zaidi ya 18+ lakini idadi ya Mchezo,dakika na chance anazopata haziendani na magoli aliyofunga, kwa maana nyingine Zlatan anaweza kuwa ni sababu ya Man U kuwa hapa ilipo kama mfungaji tegemewa,enzi za Ruud van now angekuwa na goli Zaidi ya 20,mana timu inazuia vizuri,kiungo cha uhakika,ushambukiaji ndio tatizo.
Kutokana na mfumo anayotumia Mou,mara nyingi hutegemea mfungaji mkuu.
Sasa nini maana yake ikiwa Ibra atakuwa inje kwa muda mrefu,Mou itabidi kucheza kama alivyocheza na Chelsea bado timu itakuwa na tatizo la ufungaji lakini inabidi kuwaruhusu Viungo nao kufanya kazi ya ushambuliaji kidogo Pogba anaweza kuwa kiungo huru na kuanza kufunga au Herera mana Matta naye yupo nje.
Umeanza ushabiki lini??Mtakuja white heart lane tunawapiga mpaka mnene kwa lugha.
Mkuu sio alikuwa anamuogopa ni issue za mkataba.Aende zake tuu...kwanza score rate yake ni ndogo sana ukicompare na chance za kufunga anazozipata...pili Mourinho alikuwa anamuogopa au labda ana maslah nae ya kibinafsi,maana hata akiboronga vipi mourinho alikuwa hawezi kumpiga sub...Kuumia kwake ni advantage kwa man utd maana wakina Rashford watapata chance zaidi ya kucheza na pia next season umuhimu wa kusajili straika mpya utakuwa umeongezeka maradufu!!!
Anauza Jezi tu hapoAende zake tuu...kwanza score rate yake ni ndogo sana ukicompare na chance za kufunga anazozipata...pili Mourinho alikuwa anamuogopa au labda ana maslah nae ya kibinafsi,maana hata akiboronga vipi mourinho alikuwa hawezi kumpiga sub...Kuumia kwake ni advantage kwa man utd maana wakina Rashford watapata chance zaidi ya kucheza na pia next season umuhimu wa kusajili straika mpya utakuwa umeongezeka maradufu!!!