Hebu iwekeni ya na goli kipa wa Brazil halafu tuwalinganishe! Tatizo vijana wetu hawana mazoezi ya kutosha, minyama uzembe imewajaa halafu wanataka wapambane na Brazili ambao ni wepesi mno. Tena jana Brazil hawakuonyesha mchezo wa juu maana wangefanya hivyo kila mchezaji wa Stars angeondoka uwanjani na goli lake na la mkewe/mpenziwe. Anyway, naamini mchezo huu utakuwa ni changamoto kwao ili wajifunze na kuimarisha zaidi mbinu za kimchezo. Si haba! Ila hizo bilioni zilitimia? Uwanja ulikuwa dorooo kabisa, au wadau walichelewa kwa sababu ya foleni kubwa jana!