Sisi Yanga tujitofautishe na Mbumbumbu fc kuhangaika na vitu vidogo. Mambo ya mchezaji wa wiki, goli la wiki tuwaachie mbumbumbu fc.
Kwa Sasa sio muda wa kusifiana Kwa vitu vidogo, Huu ni muda wa kuzungumzia makosa ya ki mbinu tuliyonayo na namna ya kuyarekebisha haraka.
Hatua tulizofikia hazikupi muda wa kukosea, wachezaji wanatakiwa wa focus kwenye namna ya kusaidiana kupunguza makosa.
Tushangilie vikombe si matukio ya wiki mojamoja au mwezi, Hivyo ndivyo wakubwa wanavyo ishi.y