Goli la kisigino wanalofungwa CCM



hii ni kutekwa kwa ukawa.wenye ukawa wanaondoka yanaingia maccm na sisi tunashangilia!.hii ni mbinu nyingine ya ccm kuendelea kutawala.
 
ccm kwa sasa hawamjui adui wa kweli ni nani wala rafiki wa kweli...
 
KIBARAone

ww ujui? au uoni?.

'devide & rule theory' itagharimu ukawa.
 
Last edited by a moderator:
ndg zng wtz tukazeni ili ccm tuwatie kamba shingoni...tz bila ccm inakubarika na inajengeka vzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…