Mtaka yote
Senior Member
- Nov 30, 2014
- 136
- 103
Hilo liko wazi, hata huku kitaa kuna viongozi wa CCM wengi tu na wanasema kura zao na familia zao ni kwa Lowassa.
Mwaka huu CCM haichomoki.
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA
Biashara gani hodari Mkuu anayoifanya mh katibu mkuu?Watu wengi wanaipenda CCM ila Mwenyekiti kawaangusha. Katibu mkuu yeye ni mfanyabiashara hodari hana lakuficha.
Watu wengi wanaipenda CCM ila Mwenyekiti kawaangusha. Katibu mkuu yeye ni mfanyabiashara hodari hana lakuficha.
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA
Binafsi nafurahi sana kwa yanayoendelea hivi sasa maana laiti kama Kikwete angeongoza vyema vikao bila figisu figisu zake na kumpitisha Lowassa basi mambo yangekua magumu kwa UKAWA.
Pia hata kama Lowassa angepitishwa na CCM na kushinda uchaguzi mkuu bado mambo ni yaleyale hata kama yangebadilika ila sio kiujumla maana tatizo ni mfumo mbovu wa serikali ya CCM.
Biashara gani hodari Mkuu anayoifanya mh katibu mkuu?
Jakaya mwenyewe Team Ngoyai
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA
Lazima tukubaliane Lowassa ana mtaji wa kura nyingi kutoka CCM..kuna wabunge na viongoz wengi bado wako CCM lakn ni Team Lowassa hadi kufa..iko waz majukwaan watamsifia Magufuli kulinda matumbo yao lakin kura zao na wafuasi wao watampa Lowassa..Na hili ndio goli la kisigino watakalofunga UKAWA
Mkuu unataka kutuaminisha kuwa jk kura yake ipo ukawa?
Kura zao na familia zao unamaanisha nin..?