Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,344
Dont be saying sh*t like thisHmm!... Ndiyo viongozi wetu wa Kiafrika...
Hmm! Kwa hiyo tatizo lako wewe ni UhuRuto? Utasubiri sana until Jesus will come back...Dont be saying sh*t like this
Not all our leaders are like this
Mandela was not
Gadaffi was not
Hivi kwanini ninyi wakenya mnakuwa wagumu kumtaja Nyerere kama kiongozi wa mfano hapa Afrika katika viongozi waadilifu?, Gaddafi hajawahi kuwa muadilifu hata Kidogo, alijilimbikizia mali yeye na watoto wake walifuja mali za Libya na kuishi maisha ya kifahari sana, hapa Afrika viongozi waliokufa masikini ni Thomas Sankara na Nyerere pekee, hata Mandela hakuwa masikini, na wajukuu zake sasa hivi wanakumbwa na kashfa nyingi tu za kuishi maisha ya kifahari, acheni wivu Nyerere ni mfano wa kuigwa dunianiDont be saying sh*t like this
Not all our leaders are like this
Mandela was not
Gadaffi was not
Thomas Sankara was not
He was Removed forcefully from office and killed
His body was dragged across the capital and over 400 bullets were found in his Body....
Since he refused to listen or take the french money and allow french businesses full reign in his country
The Leader who took over Blaise ruled Burkina faso for 27yrs and privatised all National industries to french companies ....he had to be forcefully removed !!!!!!!!.......
Gadaffi built an artificially underground river 17,000km long from Southern Libya to The fertile north for Irrigation
We have idiot leaders esp here in Kenya borrowed over 58bn$ in 4yrs
Apart from the 3.4bn$ Rail ....what else is there to say they have done something???
58bn$!!!!
Cheki thread imeanza na deni ikaenda kwenye barabara mbovu nyumba za Kipchumba na William mara Sankara kichwa kinauma.Hmm! Kwa hiyo tatizo lako wewe ni UhuRuto? Utasubiri sana until Jesus will come back...
Pia nyerere ......sio eti tume mwacha njeHivi kwanini ninyi wakenya mnakuwa wagumu kumtaja Nyerere kama kiongozi wa mfano hapa Afrika katika viongozi waadilifu?, Gaddafi hajawahi kuwa muadilifu hata Kidogo, alijilimbikizia mali yeye na watoto wake walifuja mali za Libya na kuishi maisha ya kifahari sana, hapa Afrika viongozi waliokufa masikini ni Thomas Sankara na Nyerere pekee, hata Mandela hakuwa masikini, na wajukuu zake sasa hivi wanakumbwa na kashfa nyingi tu za kuishi maisha ya kifahari, acheni wivu Nyerere ni mfano wa kuigwa duniani
Yeah wacha kiume....Cheki thread imeanza na deni ikaenda kwenye barabara mbovu nyumba za Kipchumba na William mara Sankara kichwa kinauma.
Wakenya kuweni makini katika mipango ya kuendesha nchi, vinginevyo nchi itafilisika na uchumi ku collapse, eneo moja ambalo mara nyingi ninawaeleza ni tatizo kwa Kenya ni kuchagua priorities, Kenyans are very poor in priorities settings, mnafanya miradi mingi kwa pamoja wakati uchumi hauna uwezo wa kuhimili hiyo miradi, na miradi mingi haina umuhimu kwa sasa ingeweza kusogezwa mbele, au kuachia private sector ikafanya hiyo miradi, lakini serikali inapenda sana kujitutumua kubeba mizigo zaidi ya uwezo wake, lazima serikali itaishiwa na pesa kwa sababu kipato hakilingani na matumizi.Tano Tena
Tano tena
Ndo maana huwa tunawaita wananchi wa Kunya huwa akili zao ni kama vile wapo chooni.. hopeless people, Nyerere ndo the true African heroHivi kwanini ninyi wakenya mnakuwa wagumu kumtaja Nyerere kama kiongozi wa mfano hapa Afrika katika viongozi waadilifu?, Gaddafi hajawahi kuwa muadilifu hata Kidogo, alijilimbikizia mali yeye na watoto wake walifuja mali za Libya na kuishi maisha ya kifahari sana, hapa Afrika viongozi waliokufa masikini ni Thomas Sankara na Nyerere pekee, hata Mandela hakuwa masikini, na wajukuu zake sasa hivi wanakumbwa na kashfa nyingi tu za kuishi maisha ya kifahari, acheni wivu Nyerere ni mfano wa kuigwa duniani
soma ulichoandika kisha ujiulize ni nani ana akili iliojaa mavi...Ndo maana huwa tunawaita wananchi wa Kunya huwa akili zao ni kama vile wapo chooni.. hopeless people, Nyerere ndo the true African hero
As into some degree, i agree with you...Uhuruto wamechukua too much loans and with so little development and within a very short time frame..with all these loans, we dont have stadiums, electric rail, greenfield terminal, etc...where did the cash go? .this will have to change or we will be in deep shit
Lord have mercy...I almost forgot galana kulalu...damn! kenyan govt thoughAs in
Galana Cost Estimates according to a joint research By ARAVA, FAO and GOK was placed at 4.3bn$
To put 1.78mn acres of land under irrigation
That would see end to hunger cheaper food prices etc
They are still doing feasibility studies
Greenfield terminals was supposed to cost 564mn$
They postponed it
We still dont have proper classrooms
Everyone is on strike
Stadiums haziko na zenye zinajengwa ziki na budget ya less than 30mn Kshs......that is not even worldclass......
But ukiangalia pesa tumekopa on the other hand .....unaeza shangaa!
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app