Goiter | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Goiter

Discussion in 'JF Doctor' started by KAKA A TAIFA, Jun 8, 2011.

 1. KAKA A TAIFA

  KAKA A TAIFA JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 564
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  HUU UGONJWA NITAMWOMBA Dr YEYOTE WA JAMII FORUM AUZUNGUMZIE KWA UNDANI NI MBAYA NA HATARI. KUNA GOITER ZA AINA 2.

  YA KWANZA NI ILE AMBAYO UVIMBE HUONEKANA JUU YA KOO, NA NYINGINE NI ILE AMBAYO IPO NDANI KWA NDANI YA KOO.

  KWA KAWAIDA HUU UGONJWA UNALETWA NA UPUNGUFU AU WINGI WA MADINI AINA YA IODINE AMBAYO HUZALISHWA NA TEZI (THYROID GLAND).

  INAPOKUWA KIDOGO HUFANYA ENEO JUU NGOZI /NYAMA YA KOO KUVIMBA, HII INAASHIRIA KWAMBA TEZI LINAFANYA JUHUDI ZA HALI YA JUU KUTAFUTA MADINI HAYO.

  MADINI HAYO YANAPOKUWA MENGI BASI HUZIDI KWENYE MZUNGUKO WA DAMU NA KUCHANGANYIKA NA VITU VINGENE AMBAVYO HUSABABISHA KUTENGENEZA KAMA SUMU FULANI AMBAYO HUCHOMA MAFUTA YALIYO KWENYE HIFADHI MWILINI, MISHIPA YA FAHAMU HUATHIRIKA KIASI KIDOGO.

  MTU AMBAYE AMEATHIRIWA NA AINA HII YA PILI, HUANZA KUPUNGA UZITO NA UMBO LA MWILI TARATIBU BAADAYE MADHARA YANAPOONGEZEKA MTU ANAANZA KUPOTEZA KUMBUKUMBU, ANAKUWA NA HASIRA, ANAKULA SANA, NYWELE ZINANYONYOKA MPAKA ANAPATA UPARA, MAGOTI YANAKOSA NGUVU NA MTU ANASHINDWA KUTEMBEA.

  MOYO KWENDA MBIO (HIGH BLOOD PRESSURE), MACHO YANAVIMBA SEHEMU YA JUU KOPE NA JICHO LENYEWE LINATOKA NJE KAMA VILE LINADONDOKA.

  UGONJWA HUU UNA DALILI KIDOGO ZINAZOFANANA NA UKIMWI KAMA MTU HATATAMBULIKA HARAKA.

  NI VIZURI KUWAHI HOSIPITALI ILI KUPATA VIPIMO NA TIBA MAPEMA.
   
Loading...