Habari ya mda huu, napenda kujitambulisha kwenu kuwa mimi ni dalali wa kupangisha nyumba vyumba apartments, hostels, godowns ,yards, business frames, villas, duplex, penthigh. Kuuza nyumba, viwanja, mashamba na magari.
Maeneo ambayo tunadili nayo ni yafuatayo:
Sinza, Svaei chuo, Makongo, Changanyikeni, Ubungo, Tabata, Kimara, Mbezi, Kijitonyama, Makumbusho, Magomeni, Kinondoni, Ousterbay, Masaki, Mikocheni, Kawe, Mbezi ya chini, Mbezi beach, Mwenge, Tegeta, Boko, Bunju, Mbweni, Ununio, Goba, Kariakoo, Upanga, Posta na Kigamboni.