Godzilla na Diva wanatukanana twitter

Sema diva ni boya sanah,,king asibishane nae ni kujiaibisha kubishana na jitu punguani kama diva
 
Diva anajiona huyu dada na angekua mzuri tungekoma...sura pana... kabaya...kanapenda kiki ila kiki hazimpendi. Zillah aache kubishana nae anajishushia hadhi huyo Diva anajulikana mgonjwa
Kwa io unataka kusema diva hatii maguu kwa mamy baby au Daina Nyange kwa uzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…