Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,169
- 9,202
Lema ni business manUnakumbuka ulikataa kumsalimia Makonda tena msibani? Hukujua kuwa demokrasia ya haki Haina upande?
Kama uko sahihi, basi muombe radhi Paul Makonda, mana demokrasia Haina upande?
Nimeangalia profile Yako nikakufatilia michangoYako jamvin, Kuna kitu nikakigundua kwakoPunguani wewe kamuombe wewe mlambe kabisa
Huwezi nipotezea muda kubishana na wewe, angalia avatar Yako ilivyo, samahan mkuu, tafuta mnao endana hii sio level zakoPunguani wewe kamuombe wewe mlambe kabisa
We ni genious mkuu, unaona mbali sanaLema ni business man
Sawa mkuu tafuta level zako siwezi bishana na weweYanayotupata watz tunastahili maana majority ni viazi kama hiki
Dogo mchaga mwenzetu ndugu yako Kingai wiki hii atakaangwa kizimbani na Lissu.Punguani wewe kamuombe wewe mlambe kabisa
Unakumbuka ulikataa kumsalimia Makonda tena msibani? Hukujua kuwa demokrasia ya haki Haina upande?
Kama uko sahihi, basi muombe radhi Paul Makonda, mana demokrasia Haina upande?
Lema ni mnafiki sana gentleman katika siasa za Tanzania, humjui tu.
halafu hua anasahu mno leo kasema nini na kesho atasema nini kwenye the same event
Kaka uko sawa tuanzie hapa hii yote ni misiba, linapo kuja jambo la ungwana tunaweka tofauti zetu pembeni sio? Basi hakustahili kuacha kumsalimia Paul makonda msibani, maana hiyo sio demokrasia ya haki anayo isema Leo.Lema ni mnafiki sana gentleman katika siasa za Tanzania, humjui tu.
halafu hua anasahu mno,
leo anaweza akasema hivi, na kesho akasema vinginevyo kwenye the same event 🐒
Muulize LEMA Hilo swali halishabihiani na kile nilicho kazungumzia,Kwani siku hizi kisheria ni makosa kutomsalimia mtu
Uko sahihi kaka nimekuelewa sasasiasa kuvamiwa na vibwengo ndio hii sasa Alexido jz instagram
Uko sahihi kakasiasa kuvamiwa na vibwengo ndio hii sasa Alexido jz instagram
Kuna mwanasiasa moja mwandamizi pale Kenya anaitwa Mandago,Kaka uko sawa tuanzie hapa hii yote ni misiba, linapo kuja jambo la ungwana tunaweka tofauti zetu pembeni sio? Basi hakustahili kuacha kumsalimia Paul makonda msibani, maana hiyo sio demokrasia ya haki anayo isema Leo.
Katika watu sijawahi kuwaamini ni Lema, hata ule uchaguzi wa juzi nilishangaa vipi kumuunga mkono Lisu na sio Mbowe. Na katika mtu cdm wanapaswa kuwa makini naye huyo ni Lema. Huwa anajali ana maslahi binafsi, na katuma salamu za rambirambi kwa Samia kwa lengo maalum, maana hata huyo Lisu hakumuagiza yeye. Anadhani watu wanasahau uhuni wao.Ndo mana nika shangaz, kipindi kile kuto msalimi makonda haikuwa ungwana, isitoshe makonda mwenyewe alionesha dhamira ya kumfata amsalimu, jamaa aka kausha sasa Leo hii Kesha sahau, tuwe na kumbukumbu wakuu
Ni kweli vitu kama ungonjwa au misiba Huwa haipigi hodiKuna mwanasiasa moja mwandamizi pale Kenya anaitwa Mandago,
aliwahi kusema,
siasa sio kitu ya kuweka kwa roho, inafaa kuishia kwa lungs.
wengi hawakumuelewa,
but hivyo ndivyo inavyofaa kua.
kwa maoni yangu,
vitu kama msiba, kwasababu hauzoeleki na hauna hodi. Leo unaweza kutokea kwangu, kesho ukatokea kwako, msiba unafaa kutuunganisha kama waja wa Allah regardless of our political difference, religions or our tribes 🐒