Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 528
Tegemeo la lema ilikuwa ni lowassa na amepigwa chini..
kuna propaganda za kitoto zinazoendeshwa na wanaccm ambao wengi hawaijui Arusha na hili ni tatizo la ccm kuwa kutokuwa takwimu sahihi huu uchaguzi LEMA aliumaliza kwenye Daftari La kujiandikisha na ni ngumu mno ccm kushinda hapa jikiteni kwenye siasa za majimbo mengine hapa ARUSHA CHADEMA WATASHINDA TENA KWAKISHINDO KIKUBWA.
Watu wa Arusha wanahitaji maendeleo na si maandamano
Walahi Lema hawezi kushinda. Apeleke uchawi wake kwingine
Wewe ambaye hujawahi kufanya hata biashara ya mapera huu usalama wa biashara umeujulia wapi ?Lema jamani apigwe chini maana hamna tena Usalama na biashara Arusha
Walahi Lema hawezi kushinda. Apeleke uchawi wake kwingine
Tegemeo la lema ilikuwa ni lowassa na amepigwa chini..
Arusha ni kikwazo chenyewe kimaendeleo kuendelea mruhusu Lema..