Godbless Lema kutikisa Mbeya Vijijini


Big Up kwa taarifa kamanda............................. Unajua Lema aliulizwa swali na Sugu kwamba KWANINI CCM WALIPATA KURA ARUSHA?
 
siku zombe alipomuita lema jambazi na akamwaga ushahidi lkn lema alikaa kimya na kukwepa wandishi wa habari, niliiogopa dunia. lema ni jambazi. wanambeya kueni makini na vilipuzi. ugaidi usije fanyika huko
 
mungu awe nawe ni nawaomba wana mbeya kumlinda huyu kamanda kwa nguvu zote asidhurike cc tuko nyuma yenu kwa maombi mungu awabariki
 

Tunashangilia kwasababu CHADEMA wamegundua kuwa kumbe Kiongozi wa Kitaifa wa CCM ni sawa na Mwenyekiti wa tawi la msingi wa CHADEMA.
 
Mkuu , asante kwa hiyo picha aisee ! Nakula ugali na bamia lakini ghafla nimejisikia kama nakula bonge la kuku !

....Pamoja sana Kamanda....!!!!! ....Stay tuned.... Magamba habari yao KWISHA!!!!!!!!!!!!
 
siku zombe alipomuita lema jambazi na akamwaga ushahidi lkn lema alikaa kimya na kukwepa wandishi wa habari, niliiogopa dunia. lema ni jambazi. wanambeya kueni makini na vilipuzi. ugaidi usije fanyika huko

Acha kujivua ufahamu we mrembo............................ Lema hakuwa na sababu ya kumjibu Zombe, kwakuwa siyo saizi yake, pili hana kesi yoyote kwahiyo hata jamii ilijua Zombe anatumika....................
 
HAMY-D kama mlijua kata za Arusha ni za CDM kwanini mliweka wagombea na mwenzako Juliana Shonza kujitapa kuwa mtashinda 4-0?
 
Last edited by a moderator:
Aluta Continua

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Na hapa ni shinyanga leo vipi ng'ombe ya nani huko?




 
Chadema hakuna mtu asiye msomi eeeeeee!.
mbowe.....kidato cha nne.
msigwa....kidato cha nne.
sugu.......std seven.
lema.......kidato cha pili au hawa siyo wanachadema?
Tatizo wewe una kariri mambo na hiyo kitu itakutesa sana ungekuwa unataka kujua ungeniuliza unapo sema wasomi unamaanisha nini? kwa kukusaidia mimi naamini MSOMI NI MTU ANAYE JITAMBUA KISIASA, KIJAMII, KIUTAMADUNI NA KIJAMII KULINGANA NA ELIMU ALIYO NAYO, tatizo unachanganya kati ya elimu ya darasani na mtu aliye soma then akaelimika ukisoma na kuelimika ndo unatakiwa uitwe msomi thats y nasema CHADEMA WOTE NI WASOMI hata kama ni la vududu WAME SOMA, WAKAELIMIKA, WAKAJITAMBUA na NDIO WASOMI bt Utajuta kwa WASOMI KUWA CHADEMA
 
Wakuu mlioko Mbalizi tunaomba updates za mkutano wakuu
 
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?

Na wanaoiba mali asili za nchi kama madini, gesi, wanyama pori na pembe za ndovu akina Kinana, wao wanaruhusiwa na nani? Utumiage japo 1/100000 ya akili yako...
 
Kaza but mh. Lema, mbilinyi, na msigwa ninyi ndo majembe mliobaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…