Lema kufanya siasa ni
ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya
Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi
hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Chadema hakuna mtu asiye msomi eeeeeee!.
mbowe.....kidato cha nne.
msigwa....kidato cha nne.
sugu.......std seven.
lema.......kidato cha pili au hawa siyo wanachadema?
Jembe la a town linapiga kazi kweli, kwe2 karatu leo katika uwanja wa kilimatembo mbunge kipenzi cha wanakaratu mh Israel natse akiambatana na mbunge kijana vitu maalum cesilia paresso watawasha moto mkubwa sana magamba hamna chenu tena
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Chama cha CHADEMA Leo kitafanya mkutano wa injili maeneo nzovwe mbeya mjini msikose waumini wote.
Jembe la a town linapiga kazi kweli, kwe2 karatu leo katika uwanja wa kilimatembo mbunge kipenzi cha wanakaratu mh Israel natse akiambatana na mbunge kijana vitu maalum cesilia paresso watawasha moto mkubwa sana magamba hamna chenu tena
Wanawake kama nyinyi ni aina ya akina agness masogange mnaosafirisha pipi ndani ya ma------ yenu
Anaenda kutikisa na fimbo au na mikono make hoja hana kichwani mweupe hana chochote.
Lukuvi darasa la pili....Ongezea wengine......
nazani wanashangilia kwa sababu ccm mlitaka kuwanyanganya kata zao kwa kuwapiga mabomu,kwa mtutu wa bunduki..kununua shahada za kupigia kura..kuwanunua wazee wa kimasai..kuhairisha uchaguzi mara kadhaa..
CDM tunashangilia kwa kuwa tumeonyesha kuwa sisi ni zaidi ya magambba kwani tumetetea kata 5 zetu na kuchukua 5 za magamba huoni raha hiyo wewe gamba?Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
Chama cha CHADEMA Leo kitafanya mkutano wa injili maeneo nzovwe mbeya mjini msikose waumini wote.
Acha ukuda wewe,tumefukuza masalia,tumepigwa mabomu na risasi za moto ila pamoja na vitisho vya savimbi mwigulu zimerudi mikononi mwa makamanda...huo ni ushindi mkubwa dhidi ya madhalimu wa taifa hili masikini..Hivi CHADEMA uchaguzi wa Arusha kumbe ulikuwa na maana sana kwenu?
Mimi nilijua imani yenu kuwa Arusha ni ngome yenu itafanya kazi!?
Mbona tena mnajitutumua kushangilia ushindi kwa kata ambazo kimsingi zilikuwa zenu?
Arusha ni yenu, kata ni zenu, kwanini mshangilie kuiangusha CCM?
Acheni hofu kwa CCM jamani, hizi ni siasa tu.
....
.....Chadema kama Oksijeni..................
Hivi mtwara ataenda lini kuhubiri INJILI?