Godbless Lema kutikisa Mbeya Vijijini

Chadema hakuna mtu asiye msomi eeeeeee!.
mbowe.....kidato cha nne.
msigwa....kidato cha nne.
sugu.......std seven.
lema.......kidato cha pili au hawa siyo wanachadema?

Lukuvi darasa la pili....Ongezea wengine......
 
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?

wauza unga,wazee wa ndovu,richmond hadi dowans,mabil ya uswiss,kagoda,EPA n.k huu ni miongoni tu mwa utekelezaji bora wa Ilani yenu
 
Asanteni sana , tunawatakia kila la heri .
 
Mkutano ni leo (jumamosi) au kesho jumapili? Pia hiyo location ni wapi, pale stend au? Tazara ipi? Mi nafaham ya iyunga tu.
 
Tunasubiri updates mkuu , kumbukeni kwamba UOGA NDIYO DHAMBI MBAYA KULIKO ZOTE .
 
Bravo Godbless John Lema; GJL; Tembeza kurunzi la vuguvugu la mabadiliko nchi nzima;
Kurunzi lako lipeleke matumaini kwa waliokata tamaa;
Mabadiliko ya fikira kwa wanaoishi na VIRUSI vya Che-Che-Mea aka CCM na
Ujasiri kwa waliogubikwa na Woga wa vitisho vya serikali ya CCM

Freedom is comming tommorow; Aluta continua.
 
Duh! Huyo jamaa naona sasa ameamua kuvamia nyanda za juu baada ya heka heka za Arusha. Hivi huwa hachoki?
 
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?

du umekunywa maji ya bendera ya ccm nn?kama ni mwizi mbona hamumshtaki?
 
Kimsingi lema mimi nampenda sana baada ya kupata taarifa hyo nmejsikia vzr.kamanda lema njoo tunakukaribisha sana m-town
 
duh! Huyo jamaa naona sasa ameamua kuvamia nyanda za juu baada ya heka heka za arusha. Hivi huwa hachoki?

makamanda huwa hawachoki hata pale patakapopatikana uhuru wa pili kwani kazi ndo itakuwa imeanza.
 
Lema kufanya siasa ni ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?

Sweety upo?I really missed u ashawo.LOL!
 
Chama cha CHADEMA Leo kitafanya mkutano wa injili maeneo nzovwe mbeya mjini msikose waumini wote.

Yaleyale ifike mahali kama hamna hoja magamba mtuachie tujinafasi wenyewe kuliko kubana space kisa uhuru wakutoa maoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…