wacha UK...wewe changu naona mnaaza kutapika mifupa sasa kina mjusi na wenzake mliokuwa mnawaaminishaga wana nguvu manvi kawalamba hamueleweki GODBLESS ARUSHA LEMA
NDIYO HABARI YA MUJINI MAKAABA MNAWEWESEKA
Me naiwekea msisitizo tu kauli ya GODBLESSlema "ukiona mtaani kwako hakuna chizi hata mmoja,chunguza vizuri huenda ukawa ni wewe". Tunaishi vichaa wengi sana ktk jamii yetu,anaweza kuwa ndugu yako au hata wewe mwenyewe!
Hao wasiomtaka lema wakae pembeni, watu tunaomtaka lema tuko makini na wapiga domo mavuvuzela wacha yapulizwe mwisho wa siku LEMA ndie mbunge mchaguliwa wa kuliongoza jimbo la Arusha, Lema ndio anaetupeleka kwenye mkoa wa asali na maziwa, Lema ndio alieifanya Arusha iweze kuponyoka kwenye wizi wa mapato kutoka kwa ccm, LEMA NDIO HABARI YA ARUSHA.
Me naiwekea msisitizo tu kauli ya GODBLESSlema "ukiona mtaani kwako hakuna chizi hata mmoja,chunguza vizuri huenda ukawa ni wewe". Tunaishi vichaa wengi sana ktk jamii yetu,anaweza kuwa ndugu yako au hata wewe mwenyewe!
Weka hata kapicha ka hao vijana elf moja maana hii ilipaswa iwe front page na kwenye TV zote nchini! Otherwise ni vimaneno tu! Shubert alikodishiwa ukumbi mkubwa Corido spring na Monaban mgombea ubunge wa ccm, alifanikiwa kupata vijana 37, 30 wakiwa vijana wa ulinzi wa chadema walioenda kwa kazi maalum. 7 ndo walikuja kuunga mkono hoja yake.
Lema anajiamini sana amewajengea na wananchi kujiamini. Arusha ilikua ngome ya CCM wanahitajika kukaa chini na kujipanga haswa kuirejesha mikononi mwao tens.
Kama ww ni miongoni wa wanaompinga kwamdomo badala yakusubiri kura kwanini usiitwe kichwakichaa?subiri sanduku lakura Au kataa kumpitisha kwenye chama iliuje ujengehoja
Shubert? Kweli huyu kijana hana hata chembe ya shukurani,Lema kamuokotea mtaani kampa ajira,kamsaidia ku solve kesi ya wizi wa trela la wahindi,kamwezesha kimaisha leo anamtukana!! Huyu hana adabu kabisa.