Godbless Lema hamia Dar es Saalam kwa muda

Ujinga wake huku Arusha watu wameshauchoka!

Tuma busara hata kidogo mkuu wewe kwakua hakuna ndugu yako hata 1 anayesoma shule za kata ndio maana una msifia ma ccm na mlugo wao
 
Tuma busara hata kidogo mkuu wewe kwakua hakuna ndugu yako hata 1 anayesoma shule za kata ndio maana una msifia ma ccm na mlugo wao

Sasa hii inahusiana vipi na LEMA?
 
ccm wakisikia neno Lema wanatetemeka sana arusha ccm imebaki historia lema akikaa dar siku 90 majimbo yote yatachukuliwa na chadema chama chakafu kimeshachoka kinasubiri nn mapinduzi au???
 
ccm wakisikia neno Lema wanatetemeka sana arusha ccm imebaki historia lema akikaa dar siku 90 majimbo yote yatachukuliwa na chadema chama chakafu kimeshachoka kinasubiri nn mapinduzi au???

dar bado mabadiliko
 
Akili za kijinga sana hzi!
 
hapo Mtwara umekosea sana, mtwara ya leo sio ile ya kale, leo hii mtwara hawataki kusikia jina la ccm kbs, tena vijijini ndio zaidi
 
ACT- Tz ndiyo mpango mzima. CCM, CDM, CUF na engine ndiyo walewale tu wachovu. Tanzania mpya kwa chama kipya
 
Umetumwa ww kama ww humkubali wenzako wanamkubari sn
 
Pole msalaani hii lazm ikuume maana tnajua kuwa nyie watoto wa Lumumba hamwelewi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…