Masaningala
JF-Expert Member
- Nov 19, 2010
- 543
- 199
Nani anastahili pongezi za mafanikio ya CHADEMA mkoani Arusha? Samson Mwigamba ambaye alikuwa mwenyekiti wa CHMA wa mkoa aliyetengeneza mikakati ya ushindi wa CHAMA? Mwigamba ndiye aliyemuibua Godbless Lema na kumfanya mgombea kwa ticket ya Chama, na kumsadia kimkakati nyuma ya pazia. Mwigamba amekuwa na Chama muda mrefu zaidi na anawafahamu wanachama wengi zaidi na wanachama wanamfahamu Mwigamba vizuri kuliko Lema?? Nadhani Mwigamba anastahili pongezi kwa kuifikisha CHADEMA hapa ilipo.
Dar kuna watu makini na wasiokuwa tayari kupoteza muda kusikiliza wababaishaji na wanasiasa uchwara!Lema kafanya nini Arusha? Mbona sioni
Wame laaniwa wapi dogp, wengi wao mapunda kazi kubeba unga xaxa wakikifitini chama, wakiingia upinzani watapata wapi wakuwa bebesha ungaDar es Salaam sijui wamelaaniwa? Wako busy na vitu vingine. Alafu ndo jiji linaloongoza kwa uchafu, foleni, mgawo wa umeme, shida ya maji, Elimu duni (kasoro shule za private) na mengineyo. Lakini watu kama wamefumbwa macho
Lema ndiyo nani?
Machalii wao ni Viroba tu hawana hata hoja wanampenda Lema kutokana alikuwa muuni mwenzao magari ya watalii yakimuona yanazima yenyewe
Lema shoga tu! Unamtaka kwa staili hiyo wewe uliyetoa post? Wewe mfate tu atakugawia tigo c mpaka aje dar kuhamasisha watu wenye uelewa tofauti na baadhi ya wavuta bangi na wanywa viroba wanaomuunga mkono katika wizi na uporaji wa mali za watu wakat wa maandamano. Arusha kafungiwa viwanj vyote anavyokusanya hao matahira wake.
Lema kafanya nini Arusha?
Au kuweza kufanya mobilization ya wasio na uwezo wa kufanya reasoning ni mafanikio?
Dar hilo atashindwa,vichwa vingi vinahitaji manual operations,sio vya remote kama Arusha
Arusha ukiwa Kenya unaweza kuwapigia simu na kuwaeleza waandamane bila sababu na wakaandamana,wanaendeshwa na hisia zaidi ya akili kumkichwa!
Ujinga wake huku Arusha watu wameshauchoka!
Tatizo watu wa Dar wengi wanajifanya busy halafu vilevile hawapendi vurugu
huyu jamaa lema apelekwe kitengo cha propaganda makao makuu ya chadema ili atembee na chopper NCHI nzima haswa kwa waswahili waliologwa na ccm wa Pwani lindi Tanga na Mtwara, KAZI YAO MAJUNGU NA USHABIKI WA YANGA NA SIMBA YAANI VILAZA WA KUTUPWA, TENA HUKU VIJANA WAO WAKITEKETEA KWA MADAWA YA KULEVYA YANAYOSAMBAZWA WA VIONGOZI WA CCM