SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,111 Reaction score 75,566 Jul 21, 2011 #21 Barubaru said: Lema hapo itamtokea puani kwani atatakiwa kulithibitisha hilo ili kurahisisha upelelezi wa mauaji hayo. Je Lema atapita hapo. Yangu macho. nasubiri Click to expand... Wewe mwarabu hayakusu,zungumzia ya Yemen siyo ya huku Tanganyika.
Barubaru said: Lema hapo itamtokea puani kwani atatakiwa kulithibitisha hilo ili kurahisisha upelelezi wa mauaji hayo. Je Lema atapita hapo. Yangu macho. nasubiri Click to expand... Wewe mwarabu hayakusu,zungumzia ya Yemen siyo ya huku Tanganyika.
Eliphaz the Temanite JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 3,017 Reaction score 1,154 Jul 21, 2011 #22 PhD said: huyu na mbowe kwa kweli wataiua CHADEMA vyama vya siasa vinatakiwa kuwa a bit moderate Click to expand... Wewe umetoka sayari gani? Ukicheka na nyani utavuna mabua!
PhD said: huyu na mbowe kwa kweli wataiua CHADEMA vyama vya siasa vinatakiwa kuwa a bit moderate Click to expand... Wewe umetoka sayari gani? Ukicheka na nyani utavuna mabua!
Ng'wanza Madaso JF-Expert Member Joined Oct 21, 2008 Posts 2,268 Reaction score 338 Jul 21, 2011 #23 Jamani naomba kujua huyu VICKY KAMATA yupo mjengoni?.Mbona hajapata kuongea? na huo mshahara analipwa kwa kazi gani?
Jamani naomba kujua huyu VICKY KAMATA yupo mjengoni?.Mbona hajapata kuongea? na huo mshahara analipwa kwa kazi gani?
K kiloni JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 575 Reaction score 77 Jul 21, 2011 #24 Feedback said: Yeye ndiye kaijenga akiiua tatizo lako nini nakushauri mmalize kiporo cha RA na Jairo kwanza then muone ni jinsi gani mtakabiliana na ujio wa Lowassa kuliko kukimbilia ya CDM. Click to expand... Poa mkuu mwambie akamoderate magamba!
Feedback said: Yeye ndiye kaijenga akiiua tatizo lako nini nakushauri mmalize kiporo cha RA na Jairo kwanza then muone ni jinsi gani mtakabiliana na ujio wa Lowassa kuliko kukimbilia ya CDM. Click to expand... Poa mkuu mwambie akamoderate magamba!