Upuuzi mtupu na kwa taarifa yako alitoa maagizo kwa Wenje wakati akiwa Mwanza.
Nyanoko
Mimi binafsi nimekutana na Lema jumatatu 17 August saa 3.12 ofisi ya TANESCO nikitoka ofisi ya meneja.mimi nilijibiwa meneja ametoka na wenzake wanne toka saa 2 .15 aliingia tuu na kutoka .na imekuwa anafanya hivyo wiki ya pili hii inaanza .na hali kadhalika Lema nae alijibiwa hivyo hivyo .kwa ufupi huyu meneja aonekani ofisi kabisa .mimi nadai hela yangu tanesco.cha ajabu wiki 3 sasa simkuti ofisini .yaani sijui nini heri angeonekana akaelezea angalau.tukajua nini tatizo la umeme.hili tujipange.na wasiwasi sana hela ya mafuta ya standby generator ya mkoa wa Arusha pesa zimeibwa au zimeingizwa kwenye kampeni ya chama cha mapanya.sio bure meneja anakimbia ofisiHabari wana Janvi.
Kwa wana Ukawa wote na Watanzania kwa ujumla wanao fuatilia siasa za nchi yetu bila kujali itikadi za kisiasa mtakuwa mnakumbuka jambo hili.
Hivi karibuni wakati Ukawa wanamtambulisha mgombea wao Mikoani, mgombea wa Ukawa Mh Edward Ngoyi Lowasa alitoa tamko au agizo ambalo wana Ukawa wanaliita "Tamko Zito" alimuagiza anaejiita/kuitwa Rais wa Arusha Mh Godbless Lema aende kwa Mkurugenzi wa TANESCO Arusha akafuatilie suala la tatizo la kukatika kwa umeme kwa lugha nyingine amwambie Mkurugenzi akome kukata umeme Arusha, na kama Mkurugenzi hatamsikiliza Lema,basi Lema amtwangie Mh Lowasa.
Kinachonishangaza tangu tamko hili litolewe umeme bado unakatika na maeneo mengine umezidi tofauti na ilivyokuwa mwanzo, Je? Mh Lema alikaidi maagizo ya Mh Lowasa? au Mkurugenzi amekaidimaagizo ya Mh Lema?
au Mh Lowasa aliongea haya ili apate huruma ya wananchi? yaani ilikuwa ni kauli aliyoitoa bila kujua kama hana uwezo wa kumfanya chochote Mkurugenzi wa TANESCO?
N.B naomba ufafanuzi wa maswali yangu hayo wanajamvi.
Bora ya wewe ambaye nafsi inakusuta kwa baadhi.!Kweli tumezidisha mahaba kwa ukawa, mimi natamani mabadiliko isipokuwa penye ukweli lazima tuseme. Nilihudhuria mkutano huo na ni kweli lowasa alisema anamwamini sana lema ni mchapa kazi na anamtuma Tanesco ikishindikana ampigie simu, kauli hiyo hiyo aliitoa mwanza kwa wenje
Lema vs monaban kijana wa lowasaaa teteh
Alafu wapenzi wachama tawala wanashibikia umeme kutokuwepo wakidhani wanawaumbua wapinzani.Yote kwa yote umeme imekuwa kero mno na si tu Arusha ni TZ yote na hakuna tamko rasmi ni nini kinaendelea...Kweli WATZ tuna nidhamu ya woga mno...
Kuandika huwezi, umefanya biashara gani na TANESCO hadi uwadai pesa?!Mimi binafsi nimekutana na Lema jumatatu 17 August saa 3.12 ofisi ya TANESCO nikitoka ofisi ya meneja.mimi nilijibiwa meneja ametoka na wenzake wanne toka saa 2 .15 aliingia tuu na kutoka .na imekuwa anafanya hivyo wiki ya pili hii inaanza .na hali kadhalika Lema nae alijibiwa hivyo hivyo .kwa ufupi huyu meneja aonekani ofisi kabisa .mimi nadai hela yangu tanesco.cha ajabu wiki 3 sasa simkuti ofisini .yaani sijui nini heri angeonekana akaelezea angalau.tukajua nini tatizo la umeme.hili tujipange.na wasiwasi sana hela ya mafuta ya standby generator ya mkoa wa Arusha pesa zimeibwa au zimeingizwa kwenye kampeni ya chama cha mapanya.sio bure meneja anakimbia ofisi
Habari wana Janvi.
Kwa wana Ukawa wote na Watanzania kwa ujumla wanao fuatilia siasa za nchi yetu bila kujali itikadi za kisiasa mtakuwa mnakumbuka jambo hili.
Hivi karibuni wakati Ukawa wanamtambulisha mgombea wao Mikoani, mgombea wa Ukawa Mh Edward Ngoyi Lowasa alitoa tamko au agizo ambalo wana Ukawa wanaliita "Tamko Zito" alimuagiza anaejiita/kuitwa Rais wa Arusha Mh Godbless Lema aende kwa Mkurugenzi wa TANESCO Arusha akafuatilie suala la tatizo la kukatika kwa umeme kwa lugha nyingine amwambie Mkurugenzi akome kukata umeme Arusha, na kama Mkurugenzi hatamsikiliza Lema,basi Lema amtwangie Mh Lowasa.
Kinachonishangaza tangu tamko hili litolewe umeme bado unakatika na maeneo mengine umezidi tofauti na ilivyokuwa mwanzo, Je? Mh Lema alikaidi maagizo ya Mh Lowasa? au Mkurugenzi amekaidimaagizo ya Mh Lema?
au Mh Lowasa aliongea haya ili apate huruma ya wananchi? yaani ilikuwa ni kauli aliyoitoa bila kujua kama hana uwezo wa kumfanya chochote Mkurugenzi wa TANESCO?
N.B naomba ufafanuzi wa maswali yangu hayo wanajamvi.
Mimi binafsi nimekutana na Lema jumatatu 17 August saa 3.12 ofisi ya TANESCO nikitoka ofisi ya meneja.mimi nilijibiwa meneja ametoka na wenzake wanne toka saa 2 .15 aliingia tuu na kutoka .na imekuwa anafanya hivyo wiki ya pili hii inaanza .na hali kadhalika Lema nae alijibiwa hivyo hivyo .kwa ufupi huyu meneja aonekani ofisi kabisa .mimi nadai hela yangu tanesco.cha ajabu wiki 3 sasa simkuti ofisini .yaani sijui nini heri angeonekana akaelezea angalau.tukajua nini tatizo la umeme.hili tujipange.na wasiwasi sana hela ya mafuta ya standby generator ya mkoa wa Arusha pesa zimeibwa au zimeingizwa kwenye kampeni ya chama cha mapanya.sio bure meneja anakimbia ofisi