masoud mshahara
JF-Expert Member
- Mar 31, 2018
- 4,712
- 2,010
" He found" unaweza kutumbia ni nani huyu "he"maji ya matope,maji machafu,what's the difference?
get the context and not minor errors (which also you have to prove wapi nilandika matope bdala ya maji ya matope)
na mabogus siku zote wanakomaa na vijimakosa vidogo kuficha uzuzu wao
kama una ufahamu wa chochote kuhusu biblia na quran weka debate uvitetee kama utaweza kuvuka hata comment tatu
nimeshakupima huna uwezo wa haya mambo..mimi ni guru
18:86
Until, when he reached the setting of the sun, he found it set in a spring of murky water: Near it he found a People: We said: "O Zul-qarnain! (thou hast authority,) either to punish them, or to treat them with kindness."
and ignored
Vitabu vyote hivi wameandika Vinyangarika kama sisi tena ni vibaka blue tu ambao ni kazi ya MunguAhsante kwa kunitajia Plutarch. Hivyo vitabu viwili vyote ninavyo na nimevisoma. Umenirudisha kuangalia kabati langu la vitabu vya historia ya enzi hizo.
Plutarch alikuwa mwanahistoria mzuri sana, hata Shakespeare alipoandika tamthiliya na michezo yake kuhusu Warumi, alimtumia Plutarch sana.
Tunaweza kusema Plutarch ni Shakespeare wa Shakespeare, kwa wasiomjua, lakini wanajua umuhimu wa Shakespeare, hilo linaweza kumuelezea umuhimu wake.
Lakini hilo halimfanyi Plutarch awe hawezi kukosea. Kuna mengi sana hakuyajua ambyao sisi tunayajua.
Habari ya kitu kujifanya chenyewe au kutojifanya chenyewe haithibitishi uwepo wa Mungu.
Kwa sababu, hata kama ulimwengu haiwezekani kuwa umejifanya wenyewe, hilo halimaanishi automatically kwamba umefanywa na Mungu.
Inawezekana ulimwengu haujajiumba wenyewe, na wala haujaumbwa na Mungu.
Na narudia tena, habari ya "kitu complex lazima kina aliyekifanya" inatuonesha Mungu hawezi kuwepo, kwa sababu Mungu naye ni complex na atahitaji muumbaji wake, na muumbaji wake atahitaji muumbaji wake, ad nauseum, ad infinitum.
View attachment 906505
Sijapinga uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani, hagusiki, hanusiki etc.
Napinga uwepo wa Mungu (mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote) kwa sababu dhana ya kuwepo kwake ina contradiction.
The problem of evil poses a big contradiction for this God idea.
Naona unapenda vitabu, tena vitabu classic kama vya Plutarch. Mtu anayenitajia Plutarch mara moja namuangalia kama anafuatilia usomi.
Tuendeleze usomi, kujadiliana kwa usomi kunataka kusoma. Naomba tusome pamoja.
Naomba usome the attached book, kama hujakisoma, kinaitwa "The Philosophy of Religion: An Anthology", particularly see "PART IV The Problem of Evil page 276" in the attached book. If you haven't read and can read the entire book it will be even better, but the core of my critique is starting at "PART IV The Problem of Evil page 276"
Sasa kama wewe unachoamini ukielewi , inakuaje unaleta ujuvi kwenye kile wanachokiamini wenzako
dul kanain (ambaye wachambuzi wanasema ni alexander the greek)" he found" unaweza kutumbia ni nani huyu "he"
Wewe huna hata unalolielewa,huyo Allah ameelezewa na huyo huyo mtume na ndipo watu wakaamini Allah,ila wewe unasema huna tatizo mtu kuamini Allah! Yani unapinga Qur'an iliyomueleza huyo Allah ila unaona sawa mtu kumuamini Allah ambaye Qur'an ndiyo imemuelezea .wapi nimesema mimi nina tatizo na wewe kuabudu allah?
kuamini sio tatizo,tatizo ni ujinga mnaotaka kutuaminisha kuwa mohamed alipasua mwezi vipande viwili,jua liazama kwenye bwawa,allah kamtuma mohamed atuue wote tunaompinga
swali ambalo mnakimbia kulijibu ni hili:tutaamini vipi mohamed ametumwa kueleza yote anayoeleza wakati kule pangoni alikuwa peke yake?
Naamini amesema "Mungu" sio mungu☺mungu gani ambaye unadai yupo?
allah?yehova?yesu?zeus?Ra?Horus?
Siku ukielewa concept yangu utajishangaa sana allah, isis, mti, kabati, maji..all these are just namesWewe huna hata unalolielewa,huyo Allah ameelezewa na huyo huyo mtume na ndipo watu wakaamini Allah,ila wewe unasema huna tatizo mtu kuamini Allah! Yani unapinga Qur'an iliyomueleza huyo Allah ila unaona sawa mtu kumuamini Allah ambaye Qur'an ndiyo imemuelezea .
Sidhani hata kama unaelewa unachokieleza mwenyewe.
Ok, Mungu gani aliyesema?Naamini amesema "Mungu" sio mungu☺
Ukishasema Mungu, naamini hapana mwingine. Ukisema mungu basi wapo wengiok,Mungu gani aliyesema?
wewe nimekwambia kudebate na mimi nataka nijue una imani gani(wht is your belief system)Wewe huna hata unalolielewa,huyo Allah ameelezewa na huyo huyo mtume na ndipo watu wakaamini Allah,ila wewe unasema huna tatizo mtu kuamini Allah! Yani unapinga Qur'an iliyomueleza huyo Allah ila unaona sawa mtu kumuamini Allah ambaye Qur'an ndiyo imemuelezea .
Sidhani hata kama unaelewa unachokieleza mwenyewe.
kwa hiyo nikiandika John maana yake yupo mmoja ila nikiandika john wapo wengi?Ukishasema Mungu, naamini hapana mwingine. Ukisema mungu basi wapo wengi
Naamini sijaandika john wala John. Sasa kama na wewe ni mungu au kuna ndugu zako ni mungu au Mungu, tujuze! Ili tuendelee kufanya mambo menginekwa hiyo nikiandika John maana yake yupo mmoja ila nikiandika john wapo wengi?
Kwani herufi kubwa na ndogo zinamaanisha nini kwa mujibu wa biblia yako? tuachane na hiloNaamini sijaandika john wala John. Sasa kama na wewe ni mungu au kuna ndugu zako ni mungu au Mungu, tujuze! Ili tuendelee kufanya mambo mengine
Umesoma Nouns na Nomino kweli? Uandishi wako wa mashaka.kwani herufi kubwa na ndogo zinamaanisha nini kwa mujibu wa biblia yako?
tuachane na hilo
Mungu wa kwenye imani yako analo jina analojitambulisha nalo? mfano wa kwenye biblia anataka aitwe yehova
Hao watu Makka ni nani aliyewaambia au walijuaje kuwa Allah anataka kuabudiwa hadi wao wakawa wanamuabudu? Hivyo ni kwamba hao watu wa makka walijitungia tu kuwa Allah anatakiwa kuabudiwa.siku ukielewa concept yangu utajishangaa sana
allah,isis,mti,kabati,maji..all these are just names
hujui kuwa maka watu walikuwa wanaabudu allah bila ya kuwepo quran wala hakukuwa na mtu aliyedai katumwa na mungu
nikiamka asubuhi nikakwambia mungu kaniambia ujikate mkono ili uingie mbinguni utaniamini?
kila kitu kipo precoded,hauuambii mwembe jinsi ya kuzaa maembe,mwembe unazaa maembe na haujawahi kuzaa machungwa
narudia tena kukwambia,ili uendelee kudebate na mimi tueleze imani yako
ni mkristo,muislam au imani ya waebrania(judaism)
bila hivyo unakuwa unatupotezea mda humu kwa kurukia comment za watu ili uonekane na wewe unajua hizi mada
Mbona msimamo wangu upo wazi kuwa naamini Mungu na ndiyo maana muda wote napingana na wapinga Mungu humu,labda wewe ndio haujulikani msimamo upi.wewe nimekwambia kudebate na mimi nataka nijue una imani gani(wht is your belief system)
ni mkristo?muislam? au imani ya kiebrania?
nijibu hayo maswali ili upate legitimacy ya kudebate
nachoona unafanya ni kurukia tu comment za watu lakini hatujui unasimamia wapi
Tumemaliza muonaji ni dhul Qarnaini , sasa unashangaa vip wakati kila mtu anaona kwa upeo wakedul kanain (ambaye wachambuzi wanasema ni alexander the greek)
Ujinga ni wewe kushindwa kueleza hicho unachoaminiwapi nimesema mimi nina tatizo na wewe kuabudu allah?
kuamini sio tatizo,tatizo ni ujinga mnaotaka kutuaminisha kuwa mohamed alipasua mwezi vipande viwili,jua liazama kwenye bwawa,allah kamtuma mohamed atuue wote tunaompinga
swali ambalo mnakimbia kulijibu ni hili:tutaamini vipi mohamed ametumwa kueleza yote anayoeleza wakati kule pangoni alikuwa peke yake?
Jibu swali weweUmesoma Nouns na Nomino kweli? Uandishi wako wa mashaka.
Hao watu Makka ni nani aliyewaambia au walijuaje kuwa Allah anataka kuabudiwa hadi wao wakawa wanamuabudu? Hivyo ni kwamba hao watu wa makka walijitungia tu kuwa Allah anatakiwa kuabudiwa.
Sasa kwako wewe mtu kusema kaongea na Mungu na mtu kuzusha kuhusu Mungu,hao kwako wanatofauti gani?
Ningekuelewa kama ungepinga na mtu kuamini kabisa Mungu na sio kupinga kuongea na Mungu.