Wanasayansi wa Russia katika kituo cha Pulkovo observatory wakiongozwa na Abdussamatov walishalielezea hili mapema,tena wakasema hata hii habari ya kusema global warming ni man made issue sio kweli bali what determines the global temperature ni natural processes especially solar activities,na tena wakagundua global warming ilistop tangu miaka ya 70 huko,na tena dunia ijiandae na ice age kwani global cooling imeanza kutokea na itapeak miaka michache ijayo.