GLOBAL CASH Credit & Loans ni matapeli?

runtown

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
844
Reaction score
1,169
Ef
 

Attachments

  • IMG-20181206-WA0010.jpeg
    37.8 KB · Views: 155
  • Screenshot_20181206-182419.jpeg
    65.5 KB · Views: 158
  • IMG-20181206-WA0009.jpeg
    78.6 KB · Views: 169
Ambao hatujajiunga huko "wasap" tuandike wapi.
 
Ukiangalia hizo lesen vzr kwenye majina ya campuni yameandikwa kwa mwandiko ambao ni tofaut na unafanana sana na ukwel ila ukwel ni kuwa zimefojiwa na pia ukiangalia hio lesen vzr ina mhuri wa kinondoni while kwenye maelezo imeandikwa mwanza
Tupe case sasa. Sisi tutaaminije kama ni wezi??
 
Hahaaa jamaaa wamezikamia hizo ada
 
Kuna watanzania viaz wanatuma hela
Pole zao lakini muhimu ni umewashtua jamani pia kwa wasiojua ukitaka jua kama kweli company ipo au haipo waweza Fanya Brela search ni 20k tu kuliko poteza pesa nyingi kabla hujajiridhisha
 
Pole zao lakini muhimu ni umewashtua jamani pia kwa wasiojua ukitaka jua kama kweli company ipo au haipo waweza Fanya Brela search ni 20k tu kuliko poteza pesa nyingi kabla hujajiridhisha
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Uko wasap wanakoma
 
Hawa jamaa hata hivyo ni wabunifu sana,hapa lazima wapo wanaopigwa sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…