simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,699
- 9,591
kazi ipi, vijana wanalia mtaani viwandani wameachishwa uzalishaji hamna, kwa hasira walizo nazo watu sijui itakuwaje tarehe 25, naona kama CCm inajisumbua tu kupiga kampeni au basi tu wanakamilisha ratiba, maana kwa kweli hamna namna nyingine.
Piga push up kwa wingi kijana maadam siku si nyingi mutaendesha viwanda kwa nguvu za misuli/biceps.
only in Tanzania...maajabu ya dunia hayaa..
Ni aibu kubwa sana kwa Taifa na serikali ya CCM kwa miaka hamsini wakitegemea umeme wa maji. Achana na gesi tu tuna Maeneo yenye upepo mkali sana Tanzania yangeweza kuzalisha Megawatt za kutosha kabisa, kuna makaa ya mawe mengi tu duniani hamna yangetosha kutoa umeme mwingi tu.
CCM kwa kutokuwa na vipaumbele wametufikisha hapa tulipo. Mimi nasema kwa herufi kubwa imetosha sasa uwezo wenu umefikia kikomo wapewe wengine waendeleze gurudumu la maendeleo.