Gitaa linauzwa!

This is a violin, not a guitar! A guitar normally has six strings, some have twelve!
basi mkuu naiuza hiyo violin!!ila hiyo avatar yako imenitisha!wewe naweza kukupatia bure kabisa kwa kukuogopa!!
 
basi mkuu naiuza hiyo violin!!ila hiyo avatar yako imenitisha!wewe naweza kukupatia bure kabisa kwa kukuogopa!!
Kivuli tu hicho ndugu usitishike! Uza tu hiyo zeze yako, sitaki vya bure!
 
linauzwa bei gani kwani tunataka tulitumie humu ndani kwenye mass choir yetu ambayo kiongozi wake@Bujibuji ametambaa na fedha za wafadhili
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…