Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,261
Let them come.Maneno kuntu
Nimeipenda number 2
eee bwana hapo wanaoishi kwa mama ni shiiida,,
ila kama nimuelewa mnakaa kwenu unamuwezesha hata mil. 1 auze hata maji nayeye jion apige mahesabu kama wanaume wenzake tehtehteh
Kuwa honest mwaj waukweli, ni wanawake wangapi wanaweza kuwapa mil 1 wanaume zao wafanye mtaji?
Nimeipenda number 2
am speaking from my soul, kama ni bf/ mwanaume wangu sijui niko naye na nina kipato nampa kabisa aanzishe biashara yoyote maana nsipompa atanitegemea hadi vocha na atakosa kujiamini utakuta kaugomvi ka kawaida atawaza una mnyanyasa.
ni bora ni mpe ili nayeye alete anachopata kama mimi kumuacha mume awe anaaibika kashika tama viudalali vya ajabu ajabu mtaani ni aibu yako wewe mwanamke pia. nampa akifanikiwa ama akazila na mademu zake nikiacha kumjali asilaumu. over.
Sukari Yenu unanipenda ili unichune vihela vyangu eeehhh, hebu magufuli aongeze kwanza. usifikir natoa kijingakijinga tu nakuchek kwanza nijiaminishe uaminifu wako na unapenda kufanya kazi mtaji ndo kikwazo tu au! kazi usharobaro tu, ukileta usharobaro ooohhh na degree yangu cjui nini siwez uza ubuyu, samaki nyanya nakuacha hivyohivyo uwe yahya utakula ugali na watoto tu na papuchi upumzike eeehhh
Inakuhusu nini?
Sukeni twende kilioni mbona mnapendeza tu#!
Aaah mwaj waukweli mi naishi mbali na wazazi. Nikitaka kwenda kwetu nisafiri kwa bus masaa 18, otherwise fast jet wahusike nifike mapema. I got my own, though thankless job, but atleast I can keep up you my dear wife and the then children. Just look at what drives me and not what I drive.
So would you marry me?
Tena zinapendeza sanaaaaa