Nina miaka 23, ndio kwanza nimeanza kupambana na maisha baada ya masomo.
Napenda kuwa na friends zaidi wa kike tupeane changamoto zaidi. Ukiwa interested ni PM... [emoji108] [emoji108]
Kuna vitu naweza ongea na girlfriend... Ila baadhi ya story najijua nakuwa more free to talk na msichana baki. Pia boyfriends napenda ambao tunaonana, but girl hata akiwa mbali tu naenjoy ku social nao. Tu ndio nilivo.
Kama wanielewa utajua nini namaanisha.