E ELIFURAHA MAKOMBE Senior Member Joined Dec 22, 2012 Posts 176 Reaction score 22 Mar 19, 2015 #1 Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote. pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu. Nipo mwanza
Mim n mwanaume wa miaka 27,nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati,mwenye elimu na dini yoyote. pm ndio itakuwa rahisi kujaana nakupeana namba za simu. Nipo mwanza
N Ndaba Senior Member Joined Jan 19, 2014 Posts 146 Reaction score 117 Mar 19, 2015 #2 Hivi mwanza kote hujaona mkuu mpaka utafute kwenye mitandao funguka lazima kuna sehemu haiko sawa