Kama watu wanaweza piga kwenye majanga - Matetemeko na Ajali, itakuwa kwa hayo magari?View attachment 1188345
Habari ya jioni wakubwa, nauliza tu maana wengine hatujui chochote,Je gharama tajwa hapo juu ni sahihi ukilinganisha na hayo mabasi yalivyo?
Hizo ni tata kubwa hiyo bei ni pesa taslimu, MKOPO huwa inafika hadi milioni 270 kwa mojamil.400 jamani mkumbuke sio laki 4 hiyo aseee ...Edit thread mkuu iandike kwa tarakimu waone Misifuri ilivyo mingi kwenye hiyo hela.
TATA hizo mil 400 ASUBUTUUUU
Hakuna tata inayotoka japani,pia hakuna tata usedwewe unazungumzia used za japan. Serikali huwa hainunui used
Magari ya wahindi hayo mara ya mwisho niliyaona maonyesho ya saba saba mwaka majuzi lakini bei yake haikuzidi sh 100 mill labda hayo ni special order yanabeba binadamu na kemikali za mashambani!
Serikali hii ya tanzania au unitedi states of north america?wewe unazungumzia used za japan. Serikali huwa hainunui used
Hiyo bei inazidi hata bei ya ile range rover ya Kiduku Lilo
Nenda pale nyenyere road buguruniwewe unazungumzia used za japan. Serikali huwa hainunui used
Wanasikilizia tu....Hapo wajanja wamepiga