Habari zenyu ndugu wana Jamii Forum,
Ni matumaini yangu kwamba wote mu-wazima wafya kabisa, na kwa wale wagonjwa na wanao pitia katika changamoto mbali mbali za kimaaisha, ninaomba Mungu awasaidie muweze kupata mpenyo na suruhu la changamoto zenu.
Baada ya kuongea hayo machache, Kaka na dada zangu mliopo humu ambao mna uzoefu juu ya maswala ya mahesabu, hususani wale ambao wa nauzoefu mkubwa kwenye utumiaji wa kikokotoo cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (M.M.T.) au kwa lugha ya wenzetu Tanzania Revenue Authority (T.R.A.)
Ninahitaji kujifunza/kufahamu utumiaji wa hiki kikokotoo, maana naona kama vile sikielewi ingawaje kinasemekana kuwa ni rahisi mno na wauzaji wengi wa magari wanakitumia. Nina hitaji kukijua ilikuweza makadilio ya gharama za ushuru kwa gari nitakazo agiza zitatozwa kiasi gani.
Naomba kwa mwenye uelewa na utaalamu wa kutumia kikokotoo kile anieleweshe jinsi ya kupiga mahesabu.!
Natanguliza shukurani zangu za dhati kwa watakao changia mada hii, na kunielewesha.
Ahsante.