Gharama za upasuaji kichwa Moi ni shilingi ngapi?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,918
Reaction score
4,709
Habar wakuu nna nndugu yangu alipata strock nizaid ya mwaka Sasa Jana kafanyiwa ct scan ikabainika anauvimbe ktk ubongo..tukaambiwa hapa nikwenda moi akafanyiwa operation yakichwa kutoa uvimbe.

Wakuu kwa uzoefu wenu gharama za operation yakichwa moi nikiasi gani naje mgonjwa wetu anaweza Rudi ktk Hali yake yakawaida baada ya operation strock ikaisha akawa normal

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana mdau...hopefully atakua sawa kama akifanyiwa operation. Sina hakika na gharama ila ngoja waje wenye ufahamu watakueleza.
 
Nenda moi pamoja na vipimo vyake na report kutoka hospital iliyogundua hilo tatizo.. moi watakupa bei yake
 
Habar wakuu nna nndugu yangu alipata strock nizaid ya mwaka Sasa Jana kafanyiwa ct scan ikabainika anauvimbe ktk ubongo..tukaambiwa hapa nikwenda moi akafanyiwa operation yakichwa kutoa uvimbe.

Wakuu kwa uzoefu wenu gharama za operation yakichwa moi nikiasi gani naje mgonjwa wetu anaweza Rudi ktk Hali yake yakawaida baada ya operation strock ikaisha akawa normal

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app

Kuhusu kurudia hali yake itategemea na athari zilizo sababishwa na uvimbe huo pamoja na athari zitakazo tokana na upasuaji kulingana na sehemu ulipo uvimbe

Gharama sio chini ya milioni 17
 
Dah, ni mtihani kweli.
 
Back
Top Bottom