sulle my nem
Member
- Feb 3, 2017
- 44
- 35
Nahisi mita yako ina deni inakata nusu kwa nusu kwahiyo umenunua umeme wa 7500 ndo unapata unit 21Lisha ya serikal kupga marufuku kupanda kwa bei za nishat hasa umeme imebainika kupuuzwa kwa kaul hiyo ya serikali baada ya kuonekana kupanda kwa bei ya nishat hiyo kimya kimya bila kuwataarifu wananchi....hiyo imedhihirika leo hii baada ya mkaz mmoja kununua umeme wa elfu kumi na tano na kuambulia units 21 na kukatwa zaid ya shiling elfu nane kama garama kama ionekanavyo kwenye taarifa za muhamala hapo chini
Kodi?Hiyo mita inadaiwa
Hiyo mita inadaiwa
Kodi?
Lisha ya serikal kupga marufuku kupanda kwa bei za nishat hasa umeme imebainika kupuuzwa kwa kaul hiyo ya serikali baada ya kuonekana kupanda kwa bei ya nishat hiyo kimya kimya bila kuwataarifu wananchi....hiyo imedhihirika leo hii baada ya mkaz mmoja kununua umeme wa elfu kumi na tano na kuambulia units 21 na kukatwa zaid ya shiling elfu nane kama garama kama ionekanavyo kwenye taarifa za muhamala hapo chini