stronger001
JF-Expert Member
- Mar 14, 2024
- 590
- 2,615
Vilishauzwa chini ya bei hizo still leo tuna wazee bado ni wapangajiIngelikuwaga
Cement 5000
Bati 7500
Mbao 5000
Aisee tungejenga wengi sana
2007 cement ilikua 10,000Vilishuzwa chini ya bei hizo still leo tuna wazee bado ni wapangaji
bongo labda uwe na kampuni biashara hamna kitu fanya research wenye madeni wengi ni wafanya biasharaMaisha ya kupanga na kujenga ni bora ya kupanga mzee!!!
Yaani mie nichukue hela yangu nikanunue michanga badala ya kuiwekeza kwenye biashara? Never
Mkapa anaachia nchi 2005 aliicha ikiwa Tsh 3,500/4,000/= bati jeupe gauge 30 Tsh 3,500/=.2007 cement ilikua 10,000
bongo labda uwe na kampuni biashara hamna kitu fanya research wenye madeni wengi ni wafanya biashara
Na watu hawakujenga hahahahaha,Mkapa anaachia nchi 2005 aliicha ikiwa Tsh 3,500/4,000/= bati jeupe gauge 30 3,500/=
Jenga saizi yako .. sawa na kipato chako.Ingelikuwaga
Cement 5000
Bati 7500
Mbao 5000
Aisee tungejenga wengi sana
Gharama za ujenzi ni juu kwasababu tu tunakosa viongozi wenye akili wala hakuna lingineKwa pato la mtanzania kuishi nyumba za kupanga ni kujitengenezea msingi mzuri wa umaskini.
Gharama za vifaa vya ujenzi zipo juu ukilinganisha na uhalisia.
Tunahitaji viongozi ambao wanaweza kutetea wananchi sio kusifia tu
Sema wewe ndio una maisha magumu au uchumi unakusumbua kuna watu wanaendelea kushusha mijengo kwa uchumi huu tulionao ujenzi ni akili yako,kujibana na kuamua kila kitu tutalaumu tu Kizimkazi kizimkazi amka pambana maisha yenyewe mafupiTatizo kizimkazi anachojua ni kurembua macho tu.mambo ya uchumi hayamuhusu kabisa.
UnSema wewe ndio una maisha magumu au uchumi unakusumbua kuna watu wanaendelea kushusha mijengo kwa uchumi huu tulionao ujenzi ni akili yako,kujibana na kuamua kila kitu tutalaumu tu Kizimkazi kizimkazi amka pambana maisha yenyewe mafupi
Nitajenga siku kizimkazi ametoka madarakaniSema wewe ndio una maisha magumu au uchumi unakusumbua kuna watu wanaendelea kushusha mijengo kwa uchumi huu tulionao ujenzi ni akili yako,kujibana na kuamua kila kitu tutalaumu tu Kizimkazi kizimkazi amka pambana maisha yenyewe mafupi
Gharama za steel duniani kote zinapanda, usitegemee Nondo na bati kushuka,Un
Nitajenga siku kizimkazi ametoka madarakani
Maisha ya kupanga na kujenga ni bora ya kupanga mzee!!!
Yaani mie nichukue hela yangu nikanunue michanga badala ya kuiwekeza kwenye biashara? Never
Nitakua millionaire(utake, usitake) hivyo nitakua nahama kutoka full furnished apartment moja kwenda nyingine. (Wakati huo wewe uko kwenye nyumba yako uliyojenga huwezi hata kuhama sababu unaimiliki, imagine maisha yako yoote uishi kwenye nyumba moja , mpaka fasheni inapita wewe umo tu)Rudi na haya mawazo ukiwa na miaka 45
Haya maneno huwa unaweza kutype tu nyuma ya keybord wala haina shida njoo kwenye uhalisia ss ππππNitakua millionaire(utake, usitake) hivyo nitakua nahama kutoka full furnished apartment moja kwenda nyingine. (Wakati huo wewe uko kwenye nyumba yako uliyojenga huwezi hata kuhama sababu unaimiliki, imagine maisha yako yoote uishi kwenye nyumba moja , mpaka fasheni inapita wewe umo tu)
Wakati wewe unatoa milion tatu kwenda kununua kiwanja chako mabwepande ndani ndani, mimi nitaichukua hiyo million tatu nikaongeze mtaji katika biashara yangu.
Wakati wewe unawalipa mafundi na kuleta trip za mchanga(let say utatumia mil 2)
Mimi hiyo m2 nitaongeza mtaji kwenye biashara yangu, wakati huo biashara itakua na mtaji wa M5 za ziada ila wewe kwako umejaza vifusi na michanga kwenye eneo la wazi probably ukijinyima kula ili ujibane upate hela uanze ujenzi mimi nikitaka kwenda samaki samaki naenda, nainjoi mpaka asubuhi.
Broo ni mengi sana aseeee!!!
Najua utasema kwenye biashara kuna hasara lakini hata kwenye ujenzi kuna hasara vile vile, unaeza kuuziwa kiwanja chenye mgogoro
Mpaka wewe unamaliza nyumba na mie business itakua imeshamiri, hata ikitokea niamue kubadili mawazo na kujenga, nitakua na uwezo wa kununua kiwanja hata mbweni na nikajenga nyumba standard kwa sababu nina backup ya strong business