Gharama za ujenzi wa chumba kimoja

Milioni 3.

Hapo madirisha na mlango sio mninga na wala sio aluminium .. na happ hakuna tiles... na hapo hakuna choo wala shimo la choo...
 
Mleta mada unaishi msituni? Serious umeshindwa kuuliza hata mafundi wanaopita na vifaa vyao vya kazi huko barabarani?
Mwisho utakuja kutuuliza namna ya kumgegeda kwa ufasaha mkeo.
Jiongeze jombaaa!))
 
Mleta mada unaishi msituni? Serious umeshindwa kuuliza hata mafundi wanaopita na vifaa vyao vya kazi huko barabarani?
Mwisho utakuja kutuuliza namna ya kumgegeda kwa ufasaha mkeo.
Jiongeze jombaaa!))
Kuna faida nyingi za kuuliza hapa. Jamiiforums ina mafundi, wataalamu wa majengo na wataalam wengine.
Tatizo la mtoa mada limewasaidia wengi kupata makadirio ya gharama za ujenzi.
Sio watu wote wanauzoefu na mambo ya ujenzi.
Kuuliza si ujinga, mtoa mada yuko sawa.
 
Mkuu, 'mwakani' ndio hii...
Tupe mrejesho!

Mleta mada unaishi msituni? Serious umeshindwa kuuliza hata mafundi wanaopita na vifaa vyao vya kazi huko barabarani?
Mwisho utakuja kutuuliza namna ya kumgegeda kwa ufasaha mkeo.
Jiongeze jombaaa!))
Mtoa mada kasaidia wengi sana , ikiwemo bunafsi
 
Mtoa mada kasaidia wengi sana , ikiwemo bunafsi
Labda acheki hii bajet nimekutana nayo mtandaoni inaweza ikampa pa kuanzia
 
Attachments

  • Screenshot_20260403-224320.png
    441.2 KB · Views: 12

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…