N Nicklas New Member Joined Mar 20, 2016 Posts 4 Reaction score 1 Jan 12, 2018 #1 Maeneo kati ya moshono na morombo nyumba yenye kuhitaji sebule,dinning,kitcheni na vyumba viwili master pamoja na public toilet moja..
Maeneo kati ya moshono na morombo nyumba yenye kuhitaji sebule,dinning,kitcheni na vyumba viwili master pamoja na public toilet moja..
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,922 Reaction score 4,716 Jan 13, 2018 #2 Unajenga au??
Gilbert A Massawe JF-Expert Member Joined May 14, 2015 Posts 5,922 Reaction score 4,716 Jan 13, 2018 #3 Moshono viwanja 30*25 Sio chini ya milion 35-45 Gharama za ujenzi inategemea na ukubwa halisi wa nyumba yako ukitaka ushauri sema nikupe
Moshono viwanja 30*25 Sio chini ya milion 35-45 Gharama za ujenzi inategemea na ukubwa halisi wa nyumba yako ukitaka ushauri sema nikupe
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,845 Reaction score 52,251 Jan 13, 2018 #4 moshi vijijini said: Moshono viwanja 30*25 Sio chini ya milion 35-45 Gharama za ujenzi inategemea na ukubwa halisi wa nyumba yako ukitaka ushauri sema nikupe Click to expand... Hajakuuliza bei ya kiwanja Ameomba ushauri wa gharama za ujenzi.
moshi vijijini said: Moshono viwanja 30*25 Sio chini ya milion 35-45 Gharama za ujenzi inategemea na ukubwa halisi wa nyumba yako ukitaka ushauri sema nikupe Click to expand... Hajakuuliza bei ya kiwanja Ameomba ushauri wa gharama za ujenzi.