Heshima kwenu wakuu, naomba kujua kama kuna gharama za ziada mbali na zinazoonekana kwenye calculator ya TRA na ile uliyolipa kwa muuzaji hadi gari kuingia barabarani. Ahsante!
Ahsante sana mkuu kwa msaada huo. pia kawa unaweza kunipa na makadilio ya hizo charges itakuwa poa zaidi ili nisiingie mkenge na kushindwa kutoa gari bandarini baada ya kuwa nimeishaagiza. Ubarikiwe