Gharama za shule binafsi kidato cha tano

Gharama za shule binafsi kidato cha tano

uncle Bk

Senior Member
Joined
Apr 20, 2015
Posts
165
Reaction score
83
Wakuu habari niaje!
Naomba msaada kwa wenye shule binafsi au wanaozijua gharama za kujiunga na kidato cha tano kwa shule binafsi
 
Nenda twitange sengerema hostel itakua bei nafuu
 
Huyo mwanafunzi anategemea kusoma combination gani? na ni jinsia gani?

Kama vipi mpeleke Feza ada 4.5m kwa day na 7. m for boarding.

Hakuna namna.
 
Huyo mwanafunzi anategemea kusoma combination gani? na ni jinsia gani?

Kama vipi mpeleke Feza ada 4.5m kwa day na 7. m for boarding.

Hakuna namna.

Kaka Maji marefu hayo, hakuna nzuri unayoijua kaka ya chini ya milioni 2 bweni? hasa hasa kwa maeneo ya kanda ya ziwa
 
Kama ni sayansi kwa ukanda wa ziwa hasa Mwanza sioni shule nzuri aisee.

Anyway fuatilia Taqwa na Thaqaafa.
 
Wakuu habari niaje!
Naomba msaada kwa wenye shule binafsi au wanaozijua gharama za kujiunga na kidato cha tano kwa shule binafsi

mkuu nyingi ada ni 2mil na zaidi, hivyo ili usaidiwe ungeeleza range ya ada unayotaka, pia ungetaja mchepuo au combination unayohitaji ingekuwa rahisi maana ada si hoja sana bali ubora wa shule.
 
Wakuu habari niaje!
Naomba msaada kwa wenye shule binafsi au wanaozijua gharama za kujiunga na kidato cha tano kwa shule binafsi

Marian Boys/Girls, Fedha Boys /Girls, Loyola high School, Shaban Robert, Mzizima, Alpha High School, Tusiime,St. Anthony. We unataka ipi kati ya hizo ila hakikisha upo vizuri kifedha na akili kichwani maana hawapendi mambumbumbu kwenye hizi shule.
 
Kama ni sayansi kwa ukanda wa ziwa hasa Mwanza sioni shule nzuri aisee.

Anyway fuatilia Taqwa na Thaqaafa.

Hizo shule ndio zileziileee

Kwani mtoa mada anataka uzuri wa majengo au parfomance.?
 
Marian Boys/Girls, Fedha Boys /Girls, Loyola high School, Shaban Robert, Mzizima, Alpha High School, Tusiime,St. Anthony. We unataka ipi kati ya hizo ila hakikisha upo vizuri kifedha na akili kichwani maana hawapendi mambumbumbu kwenye hizi shule.

Naunga hoja 100% japokuwa umesahau kama kuna Hizi: TENGERU BOYS,ST.JUDE.
 
Hizo shule ndio zileziileee

Kwani mtoa mada anataka uzuri wa majengo au parfomance.?

Usiwe unakurupuka tu pasipo kuelewa tumeanzia wapi kujibizana naye.

Anyway,mtajie basi wewe hizo shule nzuri unazozifahamu ukanda wa ziwa hasa zenye mchepuo wa sayansi.
 
Shule inaweza kuwa nzuri ila msomaji akawa kichwa maji,mpeleke TUSIIME,TABATA DSM ADA Mwaka 2012ilikuwa 2.4milion kwa sasa cjui huenda ipo 2.6-2.8milion ila wanafunzi hata wale wasiojiweza hufufuliwa na kuwa na uwezo.Twitange ya sengerema na Buhongwa mwanza zipo vinzuri sana tu ila shida ni moja,kama msomaji ni mpenda misosi na watoto wa kike au wa kiume hana haja ya kwenda pale sab nidham na Mungu yupo mbele.ila thaqafa saf
 
Back
Top Bottom