Shida ya mafundi mkiipata kazi mnataja bei kubwa mkikusudia kumaliza shida zote kwenye hiyo kazi moja, be friendly, cost friendly, be In works daily,
Nyumba ya vyumba viwili na kasebule, charge zako ni kiasi gani mpaka kukamilika!
Choo, jiko, bafu store incl.