Gharama za mizigo

Biny

Member
Joined
Sep 27, 2018
Posts
33
Reaction score
8
Habari zenu wadau nataka kuagiza mashine crusher kutoka China na wanasafirisha wenyewe hadi bandarini bongo.
Jee kwa anaejua gharama za kutoa hiyo bandarini.
Gharama mil 7 na laki kadhaa.
 
Kalasha unazipata hapa bongo. Ukiweka oda ndani ya 1 week japokuwa bei itaongezeka kidogo. Kama unaamanisha jaw crusher ya kuvunja mawe ili upate kokoto
 
Sikupata jibu ukiagiza unapata hapahapa lkn bei hujaianika bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…