Gharama za maisha Manispaa ya Sumbawanga

Gharama za maisha Manispaa ya Sumbawanga

Kigundu

Member
Joined
Jul 28, 2015
Posts
79
Reaction score
24
Mwenye uelewa wa mji huu anieleze gharama za maisha na hali halisi ya mji huo
 
Mwenye uelewa wa mji huu anieleze gharama za maisha na hali halisi ya mji huo

ni pm ,ndugu yangu tubonge zaidi karibu katika kisiwa cha amani wafipa ni wakalimu sana.mimi mwenyewe mgeni huu mwaka wa nne na maisha yanaenda
 
Maisha mazuri, gharama za vyakula sio kubwa sana kuna mahindi kwa wingi na samaki wengi, nenda tu hutajuta.
 
niko hapa katandala mitaa ya mkoani opposite na mahakama kuu kwa anayeanza maisha huu mkoa uko poa
 
nimetoka swanga last week kupo poa hata mimi before nilidhani kupo ovyo la hasha mji uko vizur mitaa imepangika vizur sana zaid ya tanga ila kwa wale wajasiria mali kama mimi ni mkoa wa kutoka utajir njenje nakushauri nenda na plan ya uwekezaji
 
Kama unapenda kutoka kupiga moja moto moja baridi usisahau kwenda marafiki lounge. .nadhani ndio kali kwa pale mjini
 
Back
Top Bottom